Haji Manara ni kansa ndani ya Simba SC

wajibisha

Member
May 16, 2021
52
125
Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba.

Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa.

Anasahau hakuna branda ya Haji Manara Bali kuna brand ya Haji Manara wa Simba.

Ukiondoa Simba hakuna Haji Manara.

Tulikupenda ila huwezi kudai kuwa mkubwa zaidi ya klabu.
 

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,471
2,000
Kazi ipo
Screenshot_20210722-165549.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Patroman

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
695
1,000
Kinachonishangaza mpaka sasa ni kwa nini bwana Manara asingepeleka hili suala kwenye vikao vya uongozi wa club ...kulisambaza mtandaoni ni ukosefu wa maadili tena kwa mtu Kama yeye mkuu wa Idara.

Haipendezi kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom