simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa Simba SC na nyie mmekuwa kama Washamba wa Yanga SC kulalamikia Takwimu za Bodi ya Ligi?

    Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo anaonyesha kuwa na Tija hasa? Yaani wana Simba SC leo hii mmesahau kuwa Yanga SC ni Washamba? Hivi...
  2. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ni Dhahiri Kuwa Ilikuwa ni lazima Haji Manara aondoke Simba SC Kumpisha Barbara

    Wanamazengo, Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine? Sote tunajua...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC kuelekea Derby na Yanga SC naona mnalirudia tena Kosa lile lile ambalo niliwaonya huko nyuma, tukifungwa mtatukoma Mashabiki

    Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga? Nilishawaambia kuwa hata kama Timu yetu sasa inaendeshwa Kisasa (Professionally) ila kwa Utamaduni wa...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

    Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaimu CEO Yanga: Tumepata somo la kutosha kwenye mechi na Rivers Utd sasa Simba Sc wajiandae jumamosi

    Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu yao kutolewa na Rivers United katika hatua ya awali ya Caf Champions League!! Haji Mfikirwa akaongeza...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

    Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19 Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa kushiriki CAFCL. Simba Sc Mungu awape nini. Msilete dharau,huyu mnamkazia kama mnacheza na Zamalek
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

    1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC. 3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

    Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium. Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU Mightier FORTALEZA Na wengine wataungana baadae...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichopangwa kutokana na Hujuma ya N-CARD dhidi ya Simba SC katika Simba Day ni hiki... Viongozi wa Simba SC muwe makini

    1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa. 2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine...
  11. Mwanamaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Aigle Noir C.S à Arusha Tanzanie

    16 September 2021 Arusha, Tanzania Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya kimataifa ya CAF Champion league. Mchezo wa kirafiki baina ya Simba SC dhidi ya Aigle Noir C.S ya...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

    Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua. Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba kwa Hitimana tumeteleza

    Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10. Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko Kimataifa. Akaenda Namungo alichoweza ni kujaza Warundi wenzake 6 akina Nahimana, Bigirimana...
  15. msovero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Manara alikuwa anaihujumu Simba SC

    Leo kwenye kipindi cha sports HQ kinachorushwa na E-fm aliyewahi kuwa msemaji wa club ya simba 'simba sports club' Ndg. Haji Manara ameweka bayana kuwa hajawahi kuipenda club hiyo na hajawahi kuwa miongoni mwao. Kwa kinywa chake haji manara amesema "sijawahi kuwa simba" Itakumbukwa kuwa ni wiki...
  16. Viol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manara anaendeleza kilichomtoa Simba

    Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa. Manara: Nini hiki? Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini wetu? (Maji afya). Manara :Duh huu mtihani kwangu (yeye balozi wa maji ya uhai) Bumbuli: anacheka...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutwa mnapoteza muda Kuinanga Simba SC badala ya Kuhangaikia Mikataba ya akina Aucho, Djuma na Mayele ili Jumapili wacheze CL

    Kumbe hata Mbunge wa Chalinze mwana Yanga SC lia lia Ridhiwani Kikwete alivyosema Yanga SC mnafanya mambo ya Kipuuzi mengi hakukosea. Pia kumbe hata aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema kuwa Wana Yanga SC wengi ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe hakuwakosea. Yaani...
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Tunisia wakopi jezi ya Simba Sc

    Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022. Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei. Hongereni sana Simba na Vunja bei.
  19. Area 56

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  20. Cicadulina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Back
Top Bottom