simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC inapiga soka la kasi, ukila goli 10 usilaumiwe

  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

    Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

    Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF Champs Nguvu Moja
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sakho wa Simba SC tumeshajua Sakho Kauzwa wapi, mbona Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata 'K na Mjichubuaji' hatuambiwi wameenda wapi?

    Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi. Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc hatujamalizaa. Saa 7 Mchana kinashuka chuma

    Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Brazil 🇧🇷 JEFFERSON LUIS kwa Mkataba wa miaka miwili. . Jefferson (29) maarufu kama Mikono ya Sumaku anatua Simba kushindania namba na Aishi Manula aliye majeruhi.
  10. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

    Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

    Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa. Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc hatujamaliza, Saa 7 tunasambaratisha kila kitu

    Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Simba SC itakayozinduliwa leo ni ya Kuchukua Vikombe vyote na siyo za Kuishia Fainali na Kulalamika kuhujumiwa

    Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha. Pia kuna uwezekano hata...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

    Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari. Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo. Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani. Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji

    Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapohoji kwanini Wachezaji wa Simba SC wanasafiri Kimafungu na Kocha hayuko, tuhoji na huku Yanga SC Kunakofukuta pia

    Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

    Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC Nawapenda mno, ila kwa hili mtanisamehe kwani nahisi kuna tatizo mahala

    Tokea GENTAMYCINE nizaliwe na niwe mfuatiliaji wa Mpira hadi sijawahi ama Kuona au Kusikia Klabu inakwenda Pre Season Kimafungu Mafungu kama ilivyo kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC. Kwa mtazamo wangu sioni Aibu kusema kuwa Simba SC yangu haijaenda Pre Season kama wasemavyo Wao ila imeenda Pre...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

    Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha. Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake (tena akiwa bado Kwao) nchini...
Back
Top Bottom