simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yamnasa mnyama Aubin Kramo

    Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili. Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10. My Take Hapa Simba imeupiga mwingi. Karibu Simba SC mnyama Aubin Kramo.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msizuge! mmeumia sana Ngoma kuja Simba SC na Mayele anataka Kuondoka acheni Kumpigia Magoti yenu

    Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia. Wanafiki...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

    1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri 2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine. 3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa. 4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba SC kwa sasa tunataka tu kusikia 'Vyuma Vipya' vikitua Msimbazi na si 'Maupuuzi' yenu mengine sawa?

    Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Mchezaji niliyemkubali toka akiwa Simba B Said Ndemla anarejea Simba SC nitafurahi

    Ni Mchezaji ambaye sijui Mpuuzi gani ndani ya Simba SC alishauri atolewe kwa Mkopo. Said Hamis Ndemla ni Kiungp mwenye Kipaji kikubwa cha Soka na ana Faida kadhaa Kukaba, Kupiga Mashuti ni mzuri katika namba zote za Kiungo ile ya Sita na Nane na huzitendea haki. Anaondoka Mkude niliyemlea...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kipekee wa Kigeni wa Simba SC ninaotaka wabaki ni hawa Wafuatao wengine waachwe upesi sana

    1. Chama 2. Inonga 3. Phiri 4. Sakho 5. Baleke Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kigeni wa Simba SC watakaotoka tu hizi nchi nitawapenda na Kuwaamini

    1. Zambia 2. Congo DR 3. Ivory Coast 4. Ghana 5. Senegal 6. South Africa 7. Uganda 8. Cameroon 9. Zimbabwe 10. Mali 11. Sudan 12. Mozambique Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024. Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

    Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC )...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

    Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu. Kuna Mambo ya ndani...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tuendelee tu kushangilia Nabi na wengineo kuondoka Yanga SC huku sisi tukiendelea kusajili ovyo ovyo

    Kuna Wachezaji watatu (siwataji) nimethibitishiwa na mtu wa ndani kuwa watasajiliwa na nimetumia siku tatu kuwatizama mmoja mmoja kwa utaalam wangu wa mpira na jicho la kuujua mpira na mchezaji sijaona hata mmoja anayetufaa Simba SC na kwa huu mtindo wa 10% ulioko Simba SC, najua watasajiliwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

    Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job? Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wydad Athletic FC wakiwa Mabingwa wa CAFCL basi Klabu ya Simba SC inapaswa Kuheshimiwa mno Tanzania

    Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe. Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine yoyote hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki nzima.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kocha Sven Vandebroek aliondoka Simba SC Mwenyewe au Alifukuzwa?

    Na kama Alifukuzwa je, aliyemfukuza hivi sasa anajisikiaje akimuona kaipeleka Wydad Casablanca FC Fainali ya CAFCL na anaelekea kuwa Bingwa?
  17. Scars

    JamiiForums Tanzania FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

    Ratiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioni
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kumbe simba sc ushamba walianza kitambo

    Hawa mabwana walianza kujiita QUEENS baadae ikaonekana kuwa siyo vyema timu yenye wachezaji wa kiume kuitwa QUEENS Wakaja wakajiita SUNDERLAND jina la mji mmoja huko UINGEREZA baadae ikaonekana haileti uhalisia ndipo wakajiita SIMBA DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS toka KITAMBO HICHO jina lao hilo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC ikifika Fainali CAFCL au Kuchukua Kombe la CAFCC hatutaki Mwanasiasa Mnafiki yoyote Tanzania atupe ama Pesa, Ndege au atualike Kwake

    Simba SC tunajiweza Wenyewe kwa kila Kitu kuanzia Kukodi Ndege, kuwapa Hamasa Wachezaji wetu za kuanzia Shilingi Milioni 10 hadi Milioni 20 na hata uwezo wa Kukodi Ndege tena hata ile Air Force One ya Rais wa Marekani Joe Biden tunao. Na kwa Msimu ujao wa Michuano yote Simba SC katika CAFCL...
  20. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

    Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...
Back
Top Bottom