silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kumiliki silaha za moto yaregezwe Tanzania ili watu wajilinde

    Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto . Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna sababisha uonevu kwa raia kwa askari kuzitumia wanavyotaka pasipo nidhamu ikitokea askari wametumia...
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa watu hawakuogopa askari. Wasema silaha watazitafuta na kuzipata

    Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao. Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe. Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa...
  3. emperor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa tuliyoyaona na Hatua zilizochukuliwa na Vyombo vyetu vya Usalama; Tunahitaji Silaha Kujilinda

    Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu: 1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tunachokiona, tuhuma kuwa Abdul na mama yake waliingiza makontena ya silaha ni sahihi

    Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika...
  5. pulex

    JamiiForums Tanzania Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika. Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Silaha toka UAE na Mercenaries wa kigeni wanaletwa na Uganda Airlines

    Sote tunafahamu Samia ameingia mikataba mingi sana ya kikoloni na hawa UAE na nchi zingine za Kiarabu kama bandari, Airport, Carbon 14 etc, sasa kuna juhudi kubwa zinafanyika kuhakikisha huyu muovu analindwa kwa gharama yeyote pasipo kujali athari za nchi na mauaji ya raia. Hivyo waarabu hawa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tiktok Silaha yenye nguvu

    Tukiikomboa nchi, ni marufuku kufungia aina yoyote ya Media, badala yake tutazitumia kwa maslahi mapana ya Taifa
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ujerumani wamenunua silaha kutoka Israel

    BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel. Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hama lazima wasalimishe silaha zao ama sivyo tutawalazimisha-Donald Trump

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump "Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
  10. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Cloud ni Silaha Mpya ya Biashara Ndogo Ndogo

    Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa. Lakini ukweli ni kwamba...
  11. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo silaha hatari ambazo Mchina kazionyesha kwenye gwaride lake! Wachambuzi mpo!

    Najua kaamua kumuonyesha Mmarekani kwamba mimi pia nakuja! Hizi za hadharani, za sirini je??? Nuclear triad China for the first time displayed a full array of nuclear weapons that can be deployed from air, land and sea. H-6N Strategic Bomber The H-6N is a closely watched plane, it has...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kusalimisha silaha haramu ni kila mwaka?

    Wakati Jeshi la Polisi nchini likitangaza msamaha wa miezi mwili wa kutoshtakiwa kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume, imebainika kuwa misamaha hiyo imekuwa ikitolewa mara kwa mara kiasi cha kuibua hoja ya usalama wa wananchi ikiwa watu hao wanajimilikisha silaha na baadaye kupata misamaha...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo Misime ameonya pia juu ya baadhi...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Putin katika harakati ya kuunda silaha inayoweza kusafiri umbali wa kilomita 3.2 kwa sekunde

    Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori kubwa lililofichwa Yakiwa na Sindano yenye ncha kali mbele yake, yenye urefu wa mita 11 na uzani wa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Ngono kama silaha

    Ngono kama Silaha Katika maisha ya kila siku, ngono imekuwa si tu njia ya kuonyesha mapenzi, bali pia chombo chenye nguvu cha ushawishi na udhibiti katika mahusiano. Tendo hili linaunganisha watu kihisia na kimwili, lakini linapoweza kutumiwa vibaya, linaweza kugeuka kuwa silaha inayoweza...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi Albert Chimbindi: Umoja na mshikamano ni silaha ya mtangamano imara wa SADC

    Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo yaliyowekwa na jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Maafisa Waandamizi wa SADC...
Back
Top Bottom