Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.