siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waiengereza na wamarekani wapewa siku 30 wawe wameondoka Yemen

    Wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya Marekani na Uiengereza wamepewa siku 30 za matayarisho ya kuondoka nchini Yemen kwenye maeneo yanayodhibitiwa na wanajeshi wa Houth. Amri hiyo imetolewa baada ya meli za kivita za nchi hizo kufanya mashambulio kwenye maeneo ya Yemen kwa mara ya nane hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
  3. JamiiForums Tanzania Kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika vibaya, watu wa Dar es salaam kususia maandamo, hakutakuwa na nyomi

    Wakuu Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna madhara kufanya kufanya mapenzi kila siku?

    Binadamu tumetofautiana, kuna watu wanapenda kuangalia mpira na kuna wengine wanapenda kufanya mapenzi. Swali, Kuna madhara yoyote anapata mtu akiwa anafanya mapenzi kilasiku?
  6. JamiiForums Tanzania Tulichofichwa ni siku na saa, siyo majira

    Biblia imeficha siku na saa Kahusu ujio wa Yesu Christ. Haijatuficha majira. Ni kama kifo cha mwanadamu tumefichwa siku na saa lakini sio miaka. Kifo cha mwanadamu ni miaka 70-80. Kuhusu unyakuo wa kanisa na mwisho wa dunia, Biblia imetoa ratiba za wazi kabisa. Kama husomi ni wewe tu umeamua...
  7. JamiiForums Tanzania Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Match Day Leo Jumapili 21.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo. Zambia hawakupata mwanzo mzuri katika Mashindano haya walipokubaliana na Congo DR kwa sare ya 1-1 Jumatano. King...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

    Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio? Anakwambia Mume wake hana muda nae sio? Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio? Anakwambia anakupenda sana eeeh! Utalia siku moja.
  10. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna maisha ya mapenzi! Ni maisha ya maslahi!

    Yale mambo ya kuonyesha unampenda kwa dhati kiasi gani mpenzi wako, au mke wako, au bosi wako au rafiki yako hayapo tena! Kila mtu anaangalia maslahi ya kutoka kimaisha au kupata unafuu fulani wa changamoto za maisha au kwa jinsi gani uwepo wako utampa unafuu wa changamoto za kila siku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
  12. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda mikoa 20 kwa siku 10

  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

    Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari Hesabu ya leo inaonyesha...
  14. JamiiForums Tanzania Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  15. JamiiForums Tanzania TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

    Mimi naanza kwa kutaja Wanawake wasiopenda hela Endelea nawewe kutaja
  17. JamiiForums Tanzania Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

    Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa. Pia Soma: - Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Tanzania wanalipishwa zaidi ya milioni moja kwa siku 90 wawapo Zambia; Watanzania wanalipa Visa kuingia DR Congo. Majirani zetu si wema

    Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka, akizidisha siku 90 kwa mwaka anatakiwa kulipia si chini ya milioni moja na laki mbili ndipo aingize gari...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siku Saloon za kiume zikigoma Wazee wengi tutaumbuka

    Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally. Nakumbuka siku za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…