Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi,
Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi
Let say unapata 20,000$ monthly
Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula
Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$
Pili wazazi au walezi. 500$...
WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza.
Bila shaka wanaowatumia...
Naangalia hapa... Watu hamna. Kiukweli kumedoda sana. Barabarani naambiwa wamejaa askari na wanajeshi. Na maduka mengi hayajafunguliwa.
Naomba tuendelee kupeana updates hapa. Jana pascal njaa alijaribu naye kukaribisha watu waende sabasaba. Lakini watu wamemgomea naye maana wanajua hana lolote...
Waziri mkuu alidai kuna watanzania waliokamatwa na USD milioni 1 ila hii taarifa kama na yeye kaunganisha ili mradi kuleta porojo zake za maisha ya CCM.
Wale waliokamatwa kweli ni watanzania ila wamekamatwa nchi nyengine na wala sio kwa porojo ambazo hii tabia imekuwa ikitumika polisi.
Watu...
Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie tukio lile kwa uzito mkubwa.
Wananchi wa Tanzania mnahaki ya kujilinda na kuchukua Silaha hata kwa...
Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta.
Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza.
Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal.
Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana...
Sio kwa ajili ya kila mtu.
Ni kwa wale ambao umeshajaribu kila kitu. Na bado umekwama.
Kama unahangaika kupata wateja online.
Umetengeneza video yako.
Umeandika caption.
Umeweka pesa nyingi kwenye tangazo.
Na matokeo bado ni hola.
Huu ujumbe unakuhusu.
Miezi mitatu iliyopita kuna mteja...
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.
Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la...
Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol
Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...
Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?