siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya maandamona Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kutoka kwenye makazi yako

    Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika ,Tundu Lissu,Mpuuzi Lema na Mjnga Sugu hatakiwi kutoka nje ya uzio wa nyumba zao kwa siko husika.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ijumaa, Jumamosi na Jumapili wiki hili ziwe ni siku za kuwakumbuka waliotekwa, kuteswa na kuuawa.

    Ndugu zangu Watanzania, itambukwa kuwa kumekuwa na utekaji, utesaji na mauaji kwa ndugu zetu Watanzania hapa Nchini. Kutokana na kushamiri kwa vitendo hivyo viovu, binafsi napendekeza siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili wiki hili ziwe ni siku pekee za kuwakumbuka Watanzania wenzetu waliopatwa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania SGR ipate mapumziko ya siku 3 kwa wiki katika kipindi hiki cha mwanzo

    Huenda SGR inafanyishwa kazi kupitiliza uwezo wake kwa sasa ndio maana inapata majanga ya kukwama mara kwa mara, sasa TRC wajaribu kuipa mapumziko ya siku 3 kwa wiki. Yani ifanye kazi Jumamosi na Jumapili, ipumzishwe Jumatatu, ifanye kazi Jumanne, ipumzike Jumatano, ifanye kazi Alhamisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, figo zinaweza kufeli ndani ya siku 25 baada ya renal function test normal?

    Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka asubuhi. Nikaenda haja kubwa nyingi mno baada ya saa nikaenda Tena haja kubwa baada saa Tena...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Siku Moja Utastaafu

    1. Siku Moja Utastaafu. Hautakua ukienda kazini, hautakua na madaraka tena, hautakua na nguvu ya ushawishi, mzunguko wako wa pesa utapungua kabisa! Chunguza/fuatilia tarehe yako ya kustaafu kwenye risiti yako ya malipo ya mshahara. 2. Tumia Vizuri Siku Zako za Likizo ya Mwaka. Chochote...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku Ilipodhaniwa Nyerere Kalishwa Sumu

    Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes. Angalia video hiyo hapo chini: https://youtu.be/Wx6imbCTAB8?si=ZsvZBYeYdvthGtAv
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa Mbowe: Huwezi Kufanya Yaleyale Siku Zote Ukategemea Matokeo Tofauti.

    Mbowe amejitahidi sana kufanya siasa za kistaarabu siku zote, bila kutambua kuwa ustaarabu unakuwa na maana, na unaweza kuleta matokeo chanya kwa mtu ambaye ni mstaarabu. Kumfanyia ustaarabu mhuni, jambazi, muuaji, ni kupoteza muda, na wala hutapata matokeo unayoyatarajia. CCM ni chama...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

    Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!! Mungu ni mwema kila wakati!!
  9. X

    JamiiForums Tanzania Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

    Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space Station (ISS) Ikumbukwe kuwa wanaanga hawa Barry Wilmore (M) na Sunita Williams (F) walienda na...
  10. Mpenda vurugu

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

    Za sahizi wakuu. Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  12. Trust me ankali

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

    Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi. Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
  14. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe majibu ya Dkt. Tulia siku Bashe na Sugu walipolalamikia Utekaji na Mauaji

    ..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji. ..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni. ..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana. ..sikilizeni hoja...
  16. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Jinsi siku yangu ilivyoharibika

    Leo nimeamka vizur sana, sikutegemea siku yangu itaelekea kuwa chungu. Nipo zangu posta natembea mdogomdogo kuelekea ofisini asubuhi ya leo, mara ghafla kuna jamaa akaanza kuniongelesha (umri wake kama miaka 40-50) ambaye nilikuwa natembea nae njia moja.... Mshkaji; Oyaa niaje mzee? Mimi; Safi...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Taarifa kamili hii hapa
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Stress zako huwa zinakuandamana zaidi mida gani katika siku?

    Mimi ninaweza kukaa siku nzima fresh tu nikiwa na mawazo ya kawaida ila inapofika saa moja jioni aisee mikazo naona ndo inazidi..yaani likianza tu giza kidogo -mawazo ya majuto kuhusu mikopo na madeni sugu. -majuto ya hela nilizotumia kunywa bia zilizogeuka kuwa mkojo, -mawazo kuhusu hela...
  19. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kinyozi, mchomeleaji, bodaboda, mama ntilie,n.k. hulaza wastan elfu 10 kwa siku, mhitimu unaeogopa kuchekwa endelea kukaa nyumbani

    30 paaap !! "Nina vyeti nitapata ajira", "siwezi fanya kazi nje ya taaluma niliyosomea", n.k. ni jinamizi litalokulalia uchelewe kuanza life lako. Ajira hizo unazoziota zipo chache sana na connection zimerudi kwa kasi, awamu iliyopita ajira zilisimamiwa na idara ya utumishi angalau kulikuwa na...
Back
Top Bottom