siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Ahmed Ally Kutupiwa virago Simba?

    Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao. Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu...
  2. SoC04 Hii ndiyo nchi tuiotayo kila siku

    1. Maendeleo ya Kiuchumi: Kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo cha kisasa, na biashara endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya wananchi. 2. Elimu Bora: Kuboresha mfumo wa elimu kwa kuzingatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuandaa vijana kwa soko la...
  3. Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili. Nimetonywa hapa kuwa katiba...
  4. Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

    Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta. Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza...
  5. Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
  6. SoC04 Tujandae na kuisha matumizi kwa baadhi ya maliasili tulizo nazo

    TUJIANDAE NA KUISHA MATUMIZI KWA BAADHI YA MALI ASILI Mwisho wa matumizi ya baadhi ya Mali asili uko karibu sana, kama nchi tujiandae na tuchukue hatua sasa. Mali asili ni moja ya utajiri wa asili kutoka kwa Mungu, ni utajiri ambao upo tangia kuumbwa kwa Dunia hii. Ukisoma historia biashara...
  7. Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
  8. Mnavyotuonesha mkiwakamata watuhumiwa mtuoneshe pia wakiwa wanahukumiwa

    Yaani siku mkipenyezewa taarifa kuna mhalifu haraka ma tv mshajaza, magazetini nk. Siku wanahukumiwa mtuonyeshe pia hizo adhabu na somo zaidi ya kutuonyesha pale mnapomkamata mtuhumiwa. Nilishtuka mkoa mmoja polisi mkubwa anasema wabakaji wanaachiwa ama wanashinda kesi kutokana na mashahidi...
  9. TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  10. Hizi Trend za Magari ya Siku Hizi mnazionaje?

    Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi. Ngoja niwape mifano yangu muone: 1. Gear Knobs za kuongeza kama Sauti Hizi nimeona kwenye Disco...
  11. Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

    Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na...
  12. Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

    Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na...
  13. Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
  14. G

    PreGE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo. Mambo hivi sasa...
  15. R

    Nyikani tutaiongoza Dunia kulikusanya Kanisa la siku za mwisho

    Salaam,Shalom. Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI). Nyikani, Taifa la AGANO, tumekwisha Anza kuifanya KAZI muhimu ya kuikusanya Dunia nzima na Kanisa la mwisho, kabla ya...
  16. Kuwa na siku 2 ndani ya siku 1 ili ujenge biashara ukiwa umeajiriwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kukosa muda imekuwa ndiyo kisingizio kikuu cha wale walio kwenye ajira na hawajawa na biashara. Unakuta mtu yupo kwenye ajira, ambayo inampa kipato kidogo na kisichotosheleza, lakini pia hana biashara ya pembeni ambayo ingeweza kumwongezea kipato. Ukimshauri afanye...
  17. Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari

    Wanabodi, Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  18. Tulizoea biashara ya ukahaba kufanyika baa lakini sehemu nyingine hatari zaidi ni kwenye saluni

    Ukahaba mwingine umeibukia kwenye masaluni ya wanawake wanakaa hapo wanajuwa ni rahisi kuonekana. Mambo haya yanachangiwa na maadili mabovu yani hata inapelekea watoto kutopata malezi bora watoto hawalelewi vema mama zao wanawahi kudanga. Je hakuna namna serikali ikakomesha jambo hili?
  19. R

    Si sahihi siku ya wafanyakazi kugeuzwa siku ya wadudu wasioumiza; hongera Rais kwa kutokushiriki kikombe hiki

    Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi. Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
  20. M

    Kwenye Ishu ya Uzanzibari na Utanganyika Lissu amekuwa upande wa haki siku zote

    Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari. Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa watu waliojaribu kuwatetea Wazanzibari dhidi ya muungano huu ni Tundu Lissu. Lissu amekuwa consistent...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…