siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SIKU KITANDA KILIPOPIGA MAKELELE

    Naam ni jioni jioni jua laanza kuzama. Najongea nyumbani nikiwa na uchovu wa safari ya shamba kuvuna, Nawekewa maji bafuni (bafu lenye wigo wa nyasi). Maji uvugu vugu na sabuni ya kunukia ya life buoy. Baada ya bafu naweka betri kwenye kiredio nipate habari za dunia BBC Swahili Enzi za kina...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya restaurant: Watu wanakula kila siku, lakini je, kila restaurant inapata faida??

    Kuna mfanyabiashara alifungua restaurant sehemu yenye watu wengi. Alinunua viti vizuri, meza za kisasa na kuajiri wapishi wazuri. Mwezi wa kwanza wateja walikuwa wengi, lakini baada ya miezi mitatu alianza kulalamika kuwa biashara hailipi. Tatizo halikuwa kukosa wateja, bali kushindwa kusimamia...
  3. JamiiForums Tanzania Responded TCRA Yawapa Mwezi mmoja Watoa Huduma Za Intaneti Kurekebisha Nyaya Holela

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TO DO LIST: Ratiba ya Kila Siku ya General Lucas Hebel Mwashambwa na Amri za Kijeshi kwa Maafande wa Lumumba Corps!

    Ndugu zangu Watanzania! Mimi kama General, Jemedari, na Executive Director wa Kikosi Maalumu cha Kusifu na Kuabudu (Lumumba Corps), nimeamua kuweka wazi ratiba yangu ngumu ya wiki nzima. Kuliongoza hili jeshi la mtandaoni kunahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Hapa hakuna kulala! Zifuatazo ni...
  5. H

    JamiiForums Tanzania OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
  7. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

    Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini. Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
  8. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Websites | Bei nafuu | High Quality | Full features | Siku 2

    Tunatengeneza tovuti (websites) zenye Ufanisi, Smart, Responsive design kwa ajili ya Taasisi au Biashara yako 💰 Tovuti iliyokamilika: TZS 200,000 🖥️ Tuna design kwa kutumia WordPress - mfumo salama na rahisi kutumia. Unaweza kubadilisha/update maudhui kwenye website yako bila kuhitaji mtaalamu...
  9. JamiiForums Tanzania Siku za mapumziko ya Siku ya Taifa zaonesha uhai wa China

    Siku za mapumziko za Siku ya Taifa la China inajulikana kama “Wiki ya Dhahabu” nchini China. Wiki hiyo iliyomalizika hivi karibuni ilikuwa tena fursa muhimu kwa dunia kuielewa China. Vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo Reuters, Yahoo Finance, na Forbes vimefuatilia ongezeko kubwa la matumizi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Leo Simba kashinda, husikii mapungufu ya Simba, Siku akifungwa, yataanza yale yale tuliyoyazoea

    Habari ndio hio si kwa mashsbiki si kwa wachambuzi Simba imekamilika. Subirini siku wapoteze matasikia watavyogeuziwa kibao kuanzia kocha mpaka wachazeji bila kusahau mfadhili wao. Muda utasema
  11. JamiiForums Tanzania Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

    Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
  12. JamiiForums Tanzania Polisi na wanajeshi siku hizi hata kuvaa nguo zao wanaona kama wanazaraulika.

    Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana. Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29. Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
  13. JamiiForums Tanzania 10/10/(2026)10 — Siku ya Maajabu kwa Tanzania! 🇹🇿

    Astrologically Jana ilikuwa portal... Maana ya 10/10/10 katika Unajimu na Numerolojia Katika unajimu na numerolojia, 10/10/(2026)10 inachukuliwa kama siku yenye nguvu kubwa sana — "mlango" wa kiroho wa mwanzo mpya na utimizaji wa ndoto. Inaitwa "portal" (mlango) kwa sababu namba 10 kurudiwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    .....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua. General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama. Rubbish!
  15. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Afya ya Akili Duniani!

    Kwa nje unaweza ukawa unaonekana mwenye furaha na mafanikio, lakini kwa ndani unapambana na mzigo wa sonoma(depression) na wasiwasi uliopitiliza (anxiety). Kila siku unaweza ukawa unaamka na uchochoro wa msongo wa mawazo unaotokana na changamoto za maisha na hofu ya kuonekana "dhaifu" kama...
  16. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Walokole wako serious, Kuna siku watapaa kama ndege kwenda mawinguni mbinguni kuishia?

    Walokole (Wapentekosete) wanaamini kuna siku bwana Yesu atakuja kuchukua watu wake na waamini walio hai pamoja na wale waliokufa watafufuka na kupaa kwenda mawinguni mbinguni kuishi na Yesu Kristo! Watu Waovu watabaki duniani hawatapaa kwenda mbinguni. Kama mke wako ameokoka na wewe hujaokoka...
  18. JamiiForums Tanzania TFF asante kwa kifaa cha kupima hewa vyumbani, shida yetu siobali msomaji wa kifaa.

    Ahsante TFF kuingiza kwenye ligi kifaa cha kupima viwango vya hewa vyumbani (gases detector) wanakobadilishia jezi wachezaji. Kifaa kinaweza kupima hewa vizuri lakini aliyekwenda kukisoma na kutoa majibu akapindisha kwa maslahi yake. Maswali ni: 1. Nani atahusika na upimaji? 2. Gases/harufu...
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya harusi yako

    Siku ya harusi yako jioni ile mpo ukumbini sherehe ishaisha, watu wakiwa wanaagana unaitwa na Kaka zake mke wako, Wakat huo wamewashika watoto wawili mkono, Unapelekwa kando then unaambiwa “Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…