siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  2. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

    Habari za leo wanajamvi! Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu. Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ujasusi Kwa mtu binafsi katika shughuli za kila siku

    UJASUSI KWA MTU BINAFSI KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU. Anaandika, Robert Heriel Jasusi wa kujitegemea. Dondoo • maana ya ujasusi • Ujasusi Kwa mtu Binafsi • manufaa ya ujasusi Kwa mtu binafsi Lengo kuu la andiko • Mwisho wa Andiko msomaji atapata maarifa na ufahamu katika namna ya kupanga...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi pitisha hata siku tatu bila kutia maji katika mwili?

    Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata? Ulijisikiaje?
  5. JamiiForums Tanzania Iliwezekanaje ulaya watu walikufa kwà maelfu kila siku kwà korona halafu kufumba na kufumbua watu wote wakawa hawafi tena?

    Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

    1. Mfano kuna Taifa Moja (siyo Rwanda) Wananchi wake kwa sasa wameanza Kuchagua Timu za Kushangilia katika Kombe la Dunia lijalo wakati Wao hata Kufuzu tu AFCON ni shida na hapo hapo tena kuna Timu imefuzu Kombe la 'Luzaz' lakini Wanashangilia utadhani Wametinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Working hours na idadi ya kuhudumia wagonjwa kwa siku ipunguzwe

    Hawa watu wa kada za afya wanafanya kazi muda mrefu mno 24/7 na wanahudumia wagonjwa wengi sana ndio maana wanachoka sana mwisho wa siku huduma inakuwa chini ya kiwango Hivyo serikali wawapunguzie idadi ya kuhudumia wagonjwa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa wasiozidi 20 kwa siku then asign out...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Siku hizi 'Visitors Gallery' ya Bunge la Tanzania 'wanaalikwa' tu 'Watu' wa 'ovyo ovyo' Kifikra na Kiushawishi?

    Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini. Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu wamefanya nini ila je, wana Akili Vichwani mwao na wana Tija ya Kimaendeleo kwa Maisha ya Vizazi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Usimwamini mwanamke kwa 100% hata siku moja

    USIMWAMINI MWANAMKE HATA SIKU MOJA! TRUE STORY Nilikutana na Sharifa mwaka 2015 akiwa anafanya kazi mgahawani maeneo ya posta ya zamani. Nilipomuona tu siku ya kwanza nikampenda. Baada ya siku 3 za kwenda kula pale tukazoeana nikamuomba namba akanipa tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara...
  11. JamiiForums Tanzania Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

    Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo. Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyefariki ajali ya ndege azikwa siku ya ‘birthday’ yake

    Simanzi na majonzi vimetawala katika mazishi ya mmoja kati ya abiria 19 waliofariki katika ajali ya ndege iliyotokea Ziwa Victoria mkoani Kagera, Zaituni Mohamed (28), ambaye amezikwa tarehe ambayo inafanana na siku aliyozaliwa. Leo Jumatano Novemba 9, 2022 tofauti na misiba mingine ulinzi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Vijana wa Kawe wametembea km 1300 Dar - Bukoba kwa siku 35 tu Wana wa Israel walitembea km 400 tu kwa miaka 40!

    Mbunge wa Kawe mh Gwajima amewapomgeza Vijana wa Mabwepande waliotembea kwa miguu Dar - Bukoba zaidi ya km 1300 kwa siku 35 tu Askofu Gwajima amesema vijana hawa wa Jimbo la Kawe wamewazidi Wana wa Israel waliotembea kwa miguu km 400 tu kwa miaka 40 Gwajima ameingiza majina ya Vijana hao...
  14. JamiiForums Tanzania Kumfikiria mtu halafu baada ya siku 2 au 3 unamuona

    Hii imekaaje wakuu yaani unamfikiria mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani ni mazi gaombwe au muujiza wakuu
  15. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

    Wakuu inakuaje? sasa twende kazi. Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk. Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
  17. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi walikuwa wakiigharimu Twitter Tsh. Bilioni 9.3 kwa siku, Elon Musk asema ni sahihi wafukuzwe

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter ametetea kufutwa kazi kwa takriban nusu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo, akisema "hakuwa na chaguo" kwani Twitter ilikuwa ikipoteza zaidi ya Tsh. Bilioni 9 kwa siku. Bilionea huyo alisisitiza katika ukurasa wake wa twitter kwamba wote waliopoteza kazi walipewa malipo...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

    Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili. Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ili afukuzwe kazi kwa sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusa

    MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi. Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria) Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Mwezi Mmoja tumekopa Trillion 7, Kuna siku nchi itapigwa mnada

    Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada. October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi. October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia. October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU). October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…