siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote

    Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote. Nawashauri sana, msikubali teuzi zitakazowavua nafaso zenu za awali mlizokuwa nazo ili mtumikie teuzi (nafasi mpya) siku mkija tenguliwa katika nafasi hizo mtajikuta nmekosaa vyote na mtaalazimishwa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
  4. JamiiForums Tanzania Ninayetarajia kumuoa siku chache zijazo anawivu sana

    Nimetoka kutuma screenshot ya call history muda sio mrefu. Nilikua naongea na rafiki yangu mipango yetu, anapiga simu inatumika tu. Basi nilipomaliza namtafuta amekasirika akiamini nilikua naongea na mwanake mwingine. siku zilizopita alitaka simu yangu nikampatia, kwakua nilikua namuangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika itaendelea siku itakapoacha kupewa misaada toka nje

    Ukitaka kumfanya mtu kuwa masikini ili umtawale mpe pesa.Ukiona mtu anakupa msaada hakupendi na hataki ujitegemee. Zamani wazee wa kichaga Mtoto akimaliza darasa la Saba anafukuzwa nyumbani kwa kuambiwa mkataba wako umeisha wa kula na kukaa hapa nyumbani, hii ili wapush wachaga wengi kupambana...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ukizama kabisa kwenye kina kirefu cha maji

    Kipindi cha mashindano ya dunia kule Budapest, Hungary; Anita Alvarez alizama chini kabisa mwa Pool. Ukiangalia pale kwenye dawati la wakufunzi, Andrea Fuantes ambaye ni kocha wake anaonekekana kutokuwa na utulivu sababu mwanafunzi wake yupo chini kwa muda mrefu. Anakurupuka na kuzama majini...
  7. JamiiForums Tanzania Siku 14 zimeisha, ni yepi majibu au mapendekezo ya tume?

    Kama sijakosea 14 days zimeisha ni yepi majibu ya tume iliyoundwa kuhusu wafanyabiashara na tra?
  8. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  9. JamiiForums Tanzania Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

    Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza mechi 4 ndani ya Siku 9

    Nimejaribu kufatilia Ratiba ya Yanga ni ngumu Mno na Sijui kwa nini Bodi ya ligi Imemua kupanga hii Ratiba. Hii na Ratiba ya Mechi za Yanga inacheza: 👉Tarehe 3 Juni CAF fainali 👉Tarehe 6 Juni ligi 👉Tarehe 9 Juni ligi 👉Tar 12 Azam Federation Cup. Ndani ya siku 9, mechi nne, hii ni kuikomoa...
  11. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  12. JamiiForums Tanzania Je unasikiliza redio kwa siku ngapi kwa wiki? Unasikiliza vipindi gani?

    Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi. Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba mbona kwenye kurasa zenu rasmi siku hizi mmezisusa?

    Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa Simba anajitahidi sana kupost taarifa, matukio, kumbukumbu, n.k kwenye page rasmi ya Simba lakini cha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya! Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta. Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

    Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo; ~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa. ~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
  16. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Siku nyingine Rais akikupa Pesa za Kuwapa Yanga SC mwambie asaidie pia na Maiti zilizozuiliwa Mochwari Mahospitalini

    Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu?

    Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC siku ya jumapili

    Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi katika michuano hii ilikuwa ni rarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 2023 dhidi ya Monastir...
  19. JamiiForums Tanzania Wageni wa siku hizi hata siwaelewi

    Huko kwenu wageni wanakujaje kujaje?
  20. JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kuchat na Mods tu (staff wa JF on site vs Mimi mchwakichuguu

    SoMo linaeleweka, Zaid namkaribisha To yeye kipenzi, Mh mwinyi mh Mshana Jr baby nillaah wengine ni Keagan Paul SualehJaphary_ Jo 93 Mh Paw Diversity Mhariri Bridger Active Wand bila kumsahau Active mwenyewe. HOJA KUU NI KUNIPA CHEO. ILI NIPANDE CHEO CHA MSEREREKO JF LEO LEO NIFANYE YEPI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…