Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua.
Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya...