sikio la kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    Watanzania eleweni, CCM ni sikio la kufa. Dawa pekee ya kuwanyoosha kweli ni ICC tu

    Yaliyotokea Mbeya leo hivi ndivyo CCM ilivyo. Anayoendelea kuyafanya Kenan kihongosi hivi ndivyo CCM ilivyo. CCM haijutii vifo vya maelfu ya Watanzania kwenye Uchaguzi wa mwaka jana Oktoba 2025. Yaliyotokea waliyapanga na waliyaandaa maana ile ndo njia waliyopanga kuitumia ili wabakie...
  2. robinson crusoe

    CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  3. The Burning Spear

    CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  4. R

    Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

    Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi! Hali iko hivyo hapa kwetu. Mtawala wetu sidhani...
  5. B

    RC KIHONGOSI ni Sikio la Kufa

    RC Simiyu Kihongosi ni sikio la kufa, wakuu wa mikoa wenzake walikopita CHADEMA kuanzia Kagera, GEITA, MWANZA, MARA wote hawakujihusisha na hujuma zozote dhidi ya Mikutano ya Chadema zaidi kama ni majibizano yalibaki kati ya Wakurugenzi na CHADEMA kuhusu viwanja. Lakini Simiyu imekuwa tofauti...
  6. King Leon 1

    Azam FC ni sikio la kufa ,hawajui hitaji lao nini asa ukiacha kukamia Simba na Yanga

    Kiukweli mimi kama mdau wa soka la Tanzania na dunia kwa ujumla, nashindwa kuelewa kuhusu Azam FC, kiufupi hii timu inawachezaji wa hali ya juu na vitu vyote vya kimichezo kama uwanja na facilities zote zipo lakini Azam Fc imekuwa ni timu ya mechi mbili tu yaani Vs Simba na Vs Young Africans...
  7. majoto

    Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
  8. Subira the princess

    Sikio la kufa daima halisikii dawa.

    Wasalaam Nimesikiliza interview ya Ezekiel Wenje iliyofanyika wasafi fm nikagundua kuwa huyu mtu ni nusu mfu na anachowaza ni ruzuku tu na madaraka. Asema eti Abdul ni mtu muungwana sana na mkarimu, kweli leo ccm wamekua wema kwake na chadema? Tangu lini? Ukimwangalia anavyoongea unaona kabisa...
  9. S

    CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa

    CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu wa 2025. Ninashangaa kauli za viongozi wa CHADEMA kulalamikia kuenguliwa kwa wagombea...
  10. THE FIRST BORN

    Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
  11. A

    KERO TTCL ni sikio la kufa! Haiwezekani kwa zaidi ya miezi sita nimeomba huduma ya fiber nyumbani wananizungusha tu

    Habari za muda huu Wanajamvi, Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na nimeomba huduma ya kufungiwa internet nyumbani (fiber) na sasa yapata miezi sita ila sijafungiwa...
  12. Kisesetusese

    Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

    Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu. Leo...
  13. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  14. Q

    Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  15. Mwl.RCT

    SoC03 Kuwa Na Sikio La Kufa: Kuwa Tayari Kusikiliza Maoni Na Malalamiko Ya Wengine

    KUWA NA SIKIO LA KUFA: KUWA TAYARI KUSIKILIZA MAONI NA MALALAMIKO YA WENGINE Mwandishi: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika ulimwengu wa leo, jamii zetu zinakabiliwa na changamoto nyingi. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu, mabadiliko ya hali ya hewa, na migogoro ya kisiasa, ni muhimu zaidi kuliko...
  16. M

    Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  17. kingunge wa jf

    Jiji la Mwanza Sikio la Kufa lililokosa Dawa

    Wakati mitihani ya midterm ikiendelea walimu wengi wameonekana wapo kwenye ukumbi wa jiji wakiwa wameitwa kuhakiki madai yao. Idadi ya walimu ni kubwa. Almost kama wote wameondoka vituoni wapo ofisi za jiji la Mwanza. Taarifa za walimu wengi hazionekani japo walikuwa wamejaza vendor form...
Back
Top Bottom