sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  2. Scared

    Kuna demu nilitaka kumuacha akaniwahi nifanyeje aisee sijawahi kuachwa na demu

    Yaani huyu demu nilitaka kumuacha ghafla akaniwahi aisee ananiambia tuachane nifanyeje Yaani Kila nikimuona anajifanya mjanja mwenyewe naona anajisifia kwa rafiki zake eti kaniacha aisee mbinu Gani nimrudie au nikachane nae nisiwe na time naye he anaweza kuumia sababu kwao ni njia ninayopitia...
  3. MakinikiA

    Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

    Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi. Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
  4. FORBIDDEN HISTORY

    Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  5. Keyboard_Warrior

    Sijawahi kufikia wala kuvuka uzito kg 60!

    Familia, hii kitu kuna wakati inanikera. Kiasi kwamba siku hizi nikiona mzani mbele yangu nahisi kama nimeona adui. Iko hivi, urefu wangu ni 182cm, uzito wangu sasa...58kg. Aisee, maisha yangu yote sijawahi kuvuka hiyo kilo 58, sanasana kuna wakati nashuka mpaka kilo 56. Natamani sana...
  6. Chibike

    SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  7. comrade_kipepe

    Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

    Mbona kama wamemdaka maduro makusudi ni kama kuna mtu wanamtafutia sababu ajichanganye wampasue
  8. Chibike

    Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Narudia kama wapo humu wasome SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani. 🚮
  9. stakehigh

    Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

    Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
  10. Superbug

    Sijawahi kumuona Dully Sykes akihudhuria mikutano ya CCM

    Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize. Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama chawa wengine wafanyavyo?
  11. J

    David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  12. MwananchiOG

    Zile jezi mbovu zilizovuja kumbe ndiyo zenyewe, Sijawahi kuona jezi mbovu kama hizi

    Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Eric Shigongo: Nimekuwa na ubunge mgumu sana, sijawahi kufaidika

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa (CCM) anayemaliza muda wake na mtia nia wa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine, Eric Shigongo, amesema kipindi chake cha miaka mitano bungeni kimekuwa kigumu na hakujawahi kufurahia nafasi hiyo kutokana na changamoto nyingi alizokutana nazo. "Nimekuwa Mbunge...
  14. comrade_kipepe

    Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

    Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari. Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI...
  16. Yoda

    Sijawahi kuelewa kwa nini Mungu anaruhusu watoto wadogo kuteseka

    Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema...
  17. haszu

    Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  18. Superbug

    Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  19. G

    Sijawahi kumsikia akikemea ufisadi kwenye hotuba zake

    Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi. Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni bilionea huku miradi mingi ya maendeleo ikikosa fedha. Je ukimya wake ni kukiri kuwa yeye ni Shemu ya...
Back
Top Bottom