sigara

Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  2. Mad Max

    Paketi za sigara nchini Mexico zinakupa warning kibabe sana!

    Sio kama kwetu paketi za Sigara zinaurembo urembo. Wenzetu wanaweka picha za watu wako ICU, panya wamekufa, yaan fujo tu.
  3. coockie monster

    Kampuni za sigara. Msikubali kuchafuliwa

    Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita. Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC mnakubali sigara zipande bei kiholela mtaani wakati nyie mna hela zetu nyingi na nguzo ya uchumi...
  4. ndege JOHN

    Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

    Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi.. Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi...
  5. ndege JOHN

    Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  6. DuaZaMama

    Sigara za Kielektroniki za Bangi pisi 50 za kamatwa Dar

    Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam, amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya “Sanaa” katika eneo la “Reggae bar” iliyopo Masaki, walikamata sigara za kielektroniki (E - Cigare...
  7. GENTAMYCINE

    Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
  8. ndege JOHN

    Mbona wachina wanavuta Sana sigara ila hawapati Sana madhara kama kansa kama watu wengine

    Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema hawakooi hovyo wala kusumbuliwa na mapafu na nadhani hata lifespan Yao iko juu.Hii kitaalam...
  9. Papillon 1906

    Wavuta sigara mnapata faida gani?

    Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu. Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu chakwanza fegi iko wapi, kosa usishibe msosi utaitafuta fegi ilipo wengine wamefika mbali hawezi kupata...
  10. Sigara Kali

    Baada ya kifungo Cha miaka mingi hatimaye Sigara Kali nimerudi hewani

    Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali. Asanteni moderators wote wa JF
  11. Damaso

    Video ya binti akivuta sigara

    Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa kwa kasi sana, Facebook, Tiktok na hapa X (Twitter). Kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni video...
  12. Miss Natafuta

    Sheria ya uvutaji sigara hadharani Tanzania kwanini imepuuzwa?

    Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu Tuende kwenye mada Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi. Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani...
  13. Damaso

    Tukumbuke tangazo la Sigara za Sportsman

    Kwenye pita pita zangu katika makarasi ya mzee nikakutana na hili tangazo, tangazo za sigara ambazo sikufahamu kuwa zilikuwa ni sehemu kubwa ya maisha ya watu enzi hizo. Kwa wale wahenga nadhani wanafahamu na walipata uhondo wa sinema za bure katika viwanja mbalimbali huku wakiweka kila siku...
  14. The black panther

    Ni kweli embassy ni zero nikotini tofauti na sigara zingine?

    Wakubwa kwema!,jamani Mimi nilikua nauliza je Kuna ukweli wowote kwamba sigara aina ya embassy imetengenezwa Kwa kiwango cha juu kidogo kulikoni hizi sigara zingine,maana nilimsikia mzee mmoja alisema kwamba emmbacy ni zero nikotini tofauti na sigara nyingine kwahiyo ni salama kidogo je Kuna...
  15. Leonce jr

    Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

    habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa. mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance. NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa...
  16. Morning_star

    Wavuta sigara mpo?

    Huu ndio ukweli
  17. doctor mwanafunzi

    Sigara ni kero kwa wasiotumia

    Uvutaji wa sigara hadharani umekuwa kero kubwa sana mitaani na katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile vituo vya daladala na baadhi ya maduka ya rejareja. Ikumbukwe kuwa sigara ni hatari zaidi kwa asiyetumia (second-hand smoker), yaani yule ambaye ametulia zake mara ghafla moshi wa...
  18. stan john

    Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara nipo Dar, Mabibo. Nilikua naulizia wapi naweza kupata sigara ili nije kuuza Bei ya jumla?
  19. G

    Uraibu hauwezi kuachwa kwa kumeza dawa. Hakuna vidonge wala mizizi ya kuacha ulevi wa pombe, bangi, sigara, kamari, Umalaya, Punyeto, n.k

    Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi, Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k. utahangaika sana, Tatizo sio mwili bali ni akili, mtu anaamua mwenyewe kwa hiari yake. Dawa za...
Back
Top Bottom