siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dkt. Mwigulu Nchemba zinadidimiza huduma nzuri za afya Hospitali ya Wilaya Iramba

    Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana. Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa za Olimpiki: Tunapeleka washiriki wangapi?

    Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

    Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye. Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia anarudi zama za siasa za chuki au anawajibu wanaombipu?

    Kuna features kadhaa kuhusu matukio makubwa mawili yaliyojiri siku chache zilizopita, la kukamatwa Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine kadhaa wa Chadema, na kabla ya hapo, kukamatwa kwa wafuasi kadhaa wa chama hicho, matukio yaliyojiri huko Mwanza. Kwanza, hoja za jeshi la polisi na mkuu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni. Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo na njia za utatuzi

    Mfumo wa sheria, matumizi ya sheria mazuri ya sheria, sheria inapotumika vibaya hupelekea kutokuwepo na haki za binadamu kwani kwa watu ambao wanatamani kutoa mawazo yao au kukosoa selikali hubambikiwa makosa ya jinai. Mfano kesi mbalimbali za wanachama wa chama pinzani kwa kugunguliwa kesi za...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

    Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo. Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA. Leo...
  9. JamiiForums Tanzania Tusipotoka katika maigizo ya siasa hatutafika tunakokwenda

    Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii inapitia vipindi vigumu sana hasa katika nyanja za siasa. Siasa za nchi hii zinapitia maigizo mengi...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  12. JamiiForums Tanzania Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona inalenga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwani alichokisema ni uongo unaofaa kupuuzwa na kila mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna siri gani kati ya siasa na matajiri wa Tanzania?

    Habari za kushinda wakuu, Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa. Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia kwenye siasa au wapo tayari kwenye siasa. Je, kunanini kwenye siasa? Licha ya hayo yote matajiri si...
  14. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Platform ya Siasa Afrika sio chaguo sahihi la maendeleo kwa vijana

    Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Uhusiano wa Siasa, Jamii na Uchumi

    Maisha yana mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni mtazamo wa kisiasa, mtazamo wa kijamii na mtazamo wa kiuchumi. Mitazamo yote mitatu kwa kila mmoja wapo huweza kuungana na mwingine ili kuzalisha mtazamo mdogo. Kwa mfano Siasa ikiunganishwa na jamii huzalisha siasa jamii, uchumi ikiunganishwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia

    Ndio tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia. Yaani unakuta mtu anayejiita mwanasiasa naye ni uchwara hamna kitu anachokifahamu vizuri au anachosimamia isipokuwa mihemko na ubinafsi. Chama nacho ni uchwara, hakina msimamo unaoeleweka au misingi ya chama kinaendana na...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Na Elia Wilinasi Sikanyika Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Siasa na Uchumi: Siku 12 za Mwaka wa Fedha zinapita, fedha ya Bajeti haijaanza kutoka; ikifika Juni 2022 ndiyo zitatoka

    Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa. Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha. Mwisho wa...
  20. JamiiForums Tanzania Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…