siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa mikutano ya hadhara ya siasa Zanzibar huu hapa. Je, marufuku iliyoko Tanganyika ni halali?

    Mkutano wa hadhara wa Act Wazalendo huo hapo chini. Tena wanatishia kuvunja muungano na kurudisha kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa. Wakati huohuo huku Tanganyika vyama mbadala vinazuiwa kufanya mikutano ya hadhara. Je, zuio hili la upande mmoja wa muungano kutokufanya mikutano, huku upande...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Ipi nafasi ya vijana katika Siasa na Uongozi

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanasiasa na mwanasheria kijana akihoji juu ya sheria inayotaka mgombea Wa nafasi za ubunge awe na umri wa zaidi ya miaka ishirini na moja, huku haki ya kikatiba ikimtaka kijana mwenye umri wa miaka 18-19 na 20 kupiga...
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za siasa katika Utawala wa Sheria

    Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora? Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
  6. JamiiForums Tanzania Machafuko yazuka Iraq baada ya kiongozi wa Washia kutangaza kuachana na Siasa

    Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad. Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
  7. JamiiForums Tanzania Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

    Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa. Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa anazofanya Freeman Mbowe zipo sahihi ✓

    Mh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 👊👊👊 Mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuongea Kwa ajili Hawa watz keyboard worries Naomba we lamba Asali TU Taifa la Tanzania haliwezi kukombolea maana Kuna watu they knows nothing Wao ni Diamond na Alikiba, Simba Yanga , ngono na pombe 24/7 That All
  9. JamiiForums Tanzania Wakati wanapambana kupeleka gesi ya Mtwara - Dar walisema umeme utakuwa wa uhakika

    Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi. Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei...
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tanzania na Siasa za Kenya

    Tanzania ni nchi kongwe katika Ukanda wa Afrika na Afrika Mashariki, Tanzania ina mchango mkubwa katika ustawi na usalama wa nchi za Afrika Mashariki na Kenya ikiwepo. Urafiki wa Tanzania na Kenya ni wa muda mrefu na urafiki huo umechanganyika kwa udugu wa damu kutokana na kuoleana jambo...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia analeta siasa na ubabe kwenye uongozi wa mpira nchini

    HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga". Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira nchini, ni muendelezo wa ubabe na jeuri ambayo anaoionyesha mbele ya jamii ya wanamichezo nchini...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blinken anasema Marekani haitaingilia siasa za Kenya

    Blinken amesema ipo tabia mbaya ambapo mataifa makubwa yanapenda kuingilia siasa za nchi nyingine.. Akizungumza jana alipokuwa Afrika Kusini alisema nchi yake haitaingilia masuala ya demokrasi katika nchi ya Kenya na Nigeria. Amesema nchi za Kiafrika zikatae masharti zinazopewa na nchi za...
  15. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa Kilimanjaro, Yasin Lema anaharibu uchaguzi wa CCM Jimbo la Hai

    Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa yuko wapi?

    Wakuu Salaam; Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana. Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani. Anayejua yuko wapi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania MAMVI tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona kimya?

    Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
  18. JamiiForums Tanzania Ipi ni siasa bora!

    Siasa ni nini tuanzie hapo kwanza. Siasa ni shughuli za kumuinua mtu hadhi yake au nguvu yake katika taasisi fulani. Je kiserikali siasa ina maana gani? Hapa tunaona siasa ni shughuli za kichama kupata nguvu kuongoza eneo au nchi. Sasa umewahi kujiuliza siasa ina faida gani katika nchi yetu na...
  19. JamiiForums Tanzania Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

    KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA "Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM. Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze...
  20. JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

    Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali. Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…