siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
  5. JamiiForums Tanzania Tulitangaziwa kufutwa kwa tozo ila nimekatwa tozo

    Wadau juzi juzi hapa tunetangaziwa rais kafuta tozo. Cha ajabu bado kuna kodi ya serikali kwenye miamala. Ninetoka kutoa Airtel money nimekatwa tozo.
  6. JamiiForums Tanzania Kuihusisha ACT na udini kisa imechagua siasa safi ni mwendelezo wa matusi kwetu

    Friends and Our Enemies, This is the last kick of the dying horse, Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa. Wameona kuwa hila zao, uongo wao na lugha zao chafu baada ya kukataliwa na wananchi wameona sasa waanze choko choko na...
  7. JamiiForums Tanzania CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  8. JamiiForums Tanzania Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unataka kusifiwa tu, achana na siasa

    Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa. Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine...
  10. JamiiForums Tanzania Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  11. JamiiForums Tanzania Pakistan: Watu 44 wauawa kwa Mlipuko katika mkutano wa siasa

    Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio lililowalenga Wanachama wa chama cha Jamiat Ulema-e-Islam-Fazl (JUI-F) katika Mji wa Khar, karibu na mpaka wa...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio

    Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...
  13. JamiiForums Tanzania Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

    " Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile. " Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa. " Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
  14. JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  15. JamiiForums Tanzania Ligi ya mpira ikiisha Watanzania huwa wapo serious na siasa. Ligi ikianza kelele za Simba na Yanga zitatumika kuwaleta DP World rasmi

    Kwa sasa Ligi imeisha kumetulia sana, habari za Dpworld zinakita kila kona ndio main talk ya nchi mithiri ya panya anaezurura kila kona pale paka akienda nje kupumzika kidogo. Hili suala limewekewa pause, linakuja kuplay ligi ikianza hasa kama Yanga na Simba zitakutana hapo ngao ya jamii. Ndio...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tuwekane sawa: Dini hujenga mitazamo ya mtu, vyama vya siasa vichukue mikondo ya kimakundi

    Asalam, Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi. Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  19. JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar yaomba vyama vya Siasa kuunga mkono wanawake wenye nia ya kushiriki katika uongozi

    CHAMA cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kinawataka Wanawake kuwa wajasiri na kujitayarisha kiuongozi bila kuogopa changamoto zinazowakabili wanawake wanapoingia katika uongozi ili kuongeza ushiriki wao kwenye vyombo vya maamuzi. Idadi ndogo ya wanawake katika...
  20. JamiiForums Tanzania Kawaida atuma Salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    KOMREDI KAWAIDA, ATUMA SALAMU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ASISITIZA KUMLINDA RAIS SAMIA NI JUKUMU LA VIJANA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ametuma salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na kumtaka kuwachukulia hatua wale wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…