siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CPA Makalla: Uimara wa Chama cha Siasa ni Nguzo Imara kwa Wananchi, Umoja Unajenga Imani

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani kubwa kwao katika kuleta maendeleo. Makalla ameeleza hayo leo Novemba 21, 2024 akizungumza katika...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

    Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili. Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda. Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sera za Wagombea uongozi wa CCM zinawasilishwa kwa umahiri, hekima, busara na heshma kubwa sana ukilinganisha na vyama vingine vya siasa

    Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura. Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura wengi zaidi, tena wa vyama vyote vya siasa kujitokeza na kuwasikiliza wagombea vijana wasomi wa CCM...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza, CCM tutaenda nao Mperampera. Ukishapiga kura linda kura

    *Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi? *Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema piha kura uende nyumbani ukalsle *Hatuwezi kukubali muwe mnatuibia kura halafu tupeane maji...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

    Wakuu Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena. Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha. Pia, Soma: • Morogoro...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

    Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema. Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
  7. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

    19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Hayati Magufuli siasa zilikatazwa kabisa za upinzani na ukiwa mpinzani ulikuwa unashughulikiwa kwelikweli ila watu wamesahau

    Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku. Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua hakuna mbadala wa ajira hiyo as a result akaongeza mrundikano wa wahitimu myaani hence unemployment...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, inayodai kuwa vyama vyote vya siasa, ikiwemo CHADEMA, vilishirikishwa na kukubaliana na taratibu...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa siasa za Godbless Lema Arusha, ni wa fedheha sana badala ya heshima

    Tofauti zake kisiasa na viongozi wenzake ndani ya chadema Arusha na kanda ya kaskazini kwa ujumla, vimedhihirisha kuchokwa na kutohitajika kwake tena ndani ya chadema Arusha. Anaharibu zaidi pale anapojaribu kuwainstall wafuasi, rafiki, jamaa na ndugu zake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vianze kujitofautisha kwa mirengo

    Vyama vyetu vya siasa nchini vianze kujitofautisha kwenye mirengo ya kushoto au kulia. Hii itasaidia wananchi na wanachama kuvijua vyama hivyo vinasimamia Nini. Pia itasaidia vyama kujua vijikite kwenye maeneo gani na sera zipi. Mrengo wa kulia unategemea zaidi kwenye ubepari na kuangalia...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 RC Kihongosi; CHADEMA fanyeni Siasa za kistaarabu, tusibaguane kwa itikadi za vyama vyetu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na mashikamano baina ya Watanzania. Kihongosi ametoa rai hiyo alipozungumza na viongozi wa Chama hicho...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanao lumbana CHADEMA, unadhani nani ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutimkia CCM na nani anadalili zote kutimkia vyama vingine vya siasa nchi?

    Friends, ladies and gentlemen. Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko? Unadhani...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  17. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Vyama vya Siasa vitatu tu sio Ishirini

    Dkt Emanuel Nchimbi juzi kasema kuna vyama walishiriki kuvianzisha na vimekua kwa sasa vyama ambavyo wameanzisha na vimekua ni vifuatavyo. CHADEMA, ACT-WAZALENDO ni vyama ambavyo vyote vilianzishwa na CCM japo kwa nyakati tofauti lakini leo vyama hivi vinatafuta njia ya kushika dola kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu ameamua kuwa na maadui wawili kwenye siasa?

    Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja. Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja? Je hawezi mmoja...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kwa takwimu hizi siasa ya vyama vingi ni mbinu tu ya kuombea misaada toka kwa wafadhili

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ENEO LA UCHAGUZI IDADI CCM UPINZANI WOTE CCM PEKEE MITAA 4,265 4,265 3,256 1,009 VIJIJI 12,274 12,274 5,879 6,395 VITONGOJI 63,863 63,863 20,000 43,863 80,402 80,402 29,135 51,267
Back
Top Bottom