Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Salam wana JF,
Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha.
Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k
Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea?
2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa.
3...
Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni.
Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kila rika, yaani vijana , wazee, watoto n.k.
Kwa zama hizi kiongozi au chama cha...
Wakuu
Mapema asubuhi leo Mei 23, 2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anaongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kujadili mambo mbalimbali moja ya ajenda zilizoainishwa kujadiliwa na kikao hicho ni pamoja na
1. Hali ya Kisiasa Nchini
2. Operesheni ya 'No Reform No Election' (Bila...
Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli?
Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ?
watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
Kuna mambo mawili
1. Kuwa out of control
2. Kujitoa ufahamu, hii ni makusudi kabisa ili tu ule maana kwa njia zingine umeshindwa kujipatia pesa au chakula. Ni sawa na kuokota makopo jalalani. Wapowenye matatizo ya akili rasmi na wengine hujifanya wana matatizo ya akili ili wapate dili ndani ya...
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata...
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Ndugu zangu Watanzania,
Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika.
Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya#
hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina.
mfano:
1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya.
2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania.
Sasa nawaambia hivi??
Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
Hili lilofanyika Leo ni HALALI Kwa Mujibu Katiba ya Chaumma?
Je, MTU anaweza hamia Leo Leo, Bila Mkutano Mkuu, Wala Baraza Kuu na akapewa Cheo?.
Msajili anasemaje katika hili?
Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.
Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM.
Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye...
Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani.
Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala.
Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko tunayoyatafuta, tusifanye vurugu .
Be still, and know God.
Kama unataka kumsikia Mungu lazima utuliie.
Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama...