siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Joto la ubunge jimbo la Tunduma, Momba lapanda joto, Silinde atuhumiwa kuhujumu Sichalwe

    Na Mwandishi Wetu-Momba JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
  2. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aniny Nndumi watamani kuwa kama Mizengo Pinda

    UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima. Mtazamo hasa kuhusu kilimo, ndio umesababisha hadi leo sekta hiyo kuonekana ya watu wa chini, wanaoishi vijijini na...
  3. Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  4. Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  5. M

    Watawala wetu wasiogope siasa za ushindani

    Inawezekanaje Republican wamtoe Democrat kwenye uchaguzi na kubakiza vyama vidogo vidogo halafu watuambie wamefanya uchaguzi? Huo utakuwa si uchaguzi bali ni VICHEKESHO. Inawezekanaje SIMBA amtoe TEMBO kwenye mashindano na kuwabakiza digidigi, sungura, panya na nyani halafu atuambie kuwa...
  6. Ukiwa mtu makini sana, huwezi kujihusisha siasa za Tanzania

    Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa. Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate...
  7. Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  8. T

    Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

    Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru. Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
  9. HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  10. Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  11. D

    Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  12. Japokuwa napenda sana siasa ila nikiingia miaka 70 naachana na siasa , kutokana na huu moto wa Uchaguzi

    Number don't lie . MTU umeshaingia ghorofa ya 80 unasema utaweza siasa za huku na kule. Pale Bukoba Mjini Marehemu Mzee Rwamgisa (RIP) ndo nakumbuka aliingia ghorofa ya 80 akiwa ni diwani na bado alikuwa anautaka umeya. Wakuu number don't lie , naogopa yasitokee ya Rwangisa.
  13. T

    Vijana wa kitanzania hawana tena upeo wa kujadili na kuchambua siasa upeo wao ni kuchambua mipira tu. Tutarajie maafa zaidi

    Nimeona taarifa ya projection ya ukuaji wa kiuchumi wa nchi yetu inaonyesha tunakaribiwa kwa karibu sana na Uganda lkn tukiendelea kuachwa mbali sana na kaka zetu wakenya. Sisi ni mabingwa wa kusifiwa kwamba nchi yetu imetulia kuna amani maandamano hakuna na hata wakati wa corona hatukufunga...
  14. PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  15. SIASA ZA AFRIKA NA MAREKANI

    Jamaa huyu ni Michael Langley kama kamanda mweusi wa Amerika kwa Afrikom. Wakati wa Imperialists White wanataka kuondoa viongozi wa Kiafrika hutumia uso mweusi. Mtu huyu anataka Ibrahim Traore, kiongozi mkubwa wa Afrika aliuawa. Wacha tumfunue mwongo huyu mweusi wa Amerika.
  16. Natamani mtanganyika Mtikila angekuwa hai ili siasa zinoge

    Sijui kama mwanangu Christopher Mtikila angekuwa hai hali ingekuwaje alivyokuwa haogopi na kuona mbali?
  17. Kuna kila sababu ya kuilinda Kariakoo dhidi ya shughuli zozote za kisiasa!

    Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!, Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile...
  18. S

    PreGE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
  19. Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

    Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
  20. Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation Mziki Movie Mochezo Uchoraji Media n.k Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…