Yaani, hamna kitu kilichokuwa kinatisha watu kama kukaa mbele ya darasa na huelewi yale anayofundisha mwalimu halafu anakuchagua kujibu swali na hauliwezi na ukigeuka kuna kiboko cha mpera😂😂
Utatamani kugeuza sakafu shimo utumbukie na hapo amekukazia kweli ila kengele inakuokoa ya mapumziko...