shule

  1. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  2. JamiiForums Tanzania Nimewaona Chaumma wakisomba watu kuelekea Mkutanoni hapo Tabata Shule

    GT Wonders shall never end leo chauma wanakazi moja tu kusomba.watu kutoka viunga mbalimbali vya Tabata kwa ajili ya mkutano. Naona wanafauta nyao za wafadhili wao. Leo daladala zimepata tenda nzuri. NRNE
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: 2015 nilikuta shule za msingi zipo 19 tu, sasa hivi zipo 63

    Wakuu, Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu? Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  6. JamiiForums Tanzania CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  8. JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  11. JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tukuletee vitabu mtalaa

    Tutume nasi tunakuletea kwa haraka... Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu... Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books Just call us 0765 76 76 96
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  14. JamiiForums Tanzania Tamisemi/wizara ya elimu: wathibiti ubora wa shule wateuliwe kutoka miongoni mwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu, kuboresha zaidi ufundishaji/ujifunzaji

    Wakufunzi ndio wanaokesha na mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mavyuoni ndiyo wanaojua mbinu gani zitumike ili kuboresha Elimu yetu, ni vema wakatufata pia mashuleni wanatukagua wao kama walimu wa ualimu. Hivyo basi ni vema hii Kaz ya uthibiti UBORA wa shule iwe chini ya wakufunzi isimamiwe na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali Mkoa Kagera yaanzisha Operesheni maalum kukagua Afya na Usalama wa Wanafunzi shule za serikali na binafsi

    Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi. Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT waibua madudu ya CCM Lindi, shule yenye wanafunzi 800 na Walimu wanne

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka Soma pia...
  17. JamiiForums Tanzania Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo...
  19. JamiiForums Tanzania Kama kuna Mtu yupo na shule ila anahitaji mwalimu competent ambaye ataisaidia shule kuhakikisha inakua naomba tuwasiliane

    Habari wakuu . Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six . Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent . Uwezo wangu upo katika haya maeneo . Kufundisha Kufanya mentoring Kuwashawishi wazazi ili wawalete wanafunzi kujiunga katika shule...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa mahitaji maalum Simiyu wapata misaada ya shule

    Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Sima A iliyopo katika Hamlashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu wamepatiwa misaada mbalimbali kwa matumizi ya shule Misaada hiyo imetolewa na waendesha baiskeli kutoka Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Butiama mkoa wa Mara kwa lengo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…