shule

  1. JamiiForums Tanzania Njombe: Shule 28 zapewa taulo za kike. Wasimamizi wapewa onyo kuhusu ubadhilifu

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka. Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
  2. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere (Mjamaa) na Lowassa (Bepari) walitofautiana kifikra ila kisera juu ya Elimu walikuwa Sawa, UPE na Shule za Kata zinawakutanisha

    Wana JF Ukisikia mchawi mpe sifa zake. Hili la Nyerere na Lowassa ni watu walioona mbali, kama si Nyerere kuanzisha UPE Taifa hili lilikuwa lizalishe wajinga wengi kwani idadi ya watu ilizidi kuoongezeka sana wakati ujenzi wa shule za primary zikiwa kidogo sana kukabiliana na idadi ya watu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Utumishi wa Wahandisi watakaofundisha shule za ufundi sekondari

    Jamani mambo mengi, muda mchache. Naombeni kujuzwa scale sahihi wanayotakiwa kulipwa wahandisi walioajiriwa na TAMISEMI kwenda kufundisha shule za ufundi sekondari mwaka 2021
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo, shule zinafunguliwa Jumatatu (11 Januari 2020) halafu Jumanne mapumziko tena ya sikukuu (Mapinduzi Day)?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Kwa hiyo, shule zinafunguliwa Jumatatu (11 Jan 2020) halafu Jumanne mapumziko tena ya sikukuu (Mapinduzi Day)? Kwanini wasingefungua tu Jumatano? USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunaomba uruhusu mabadiliko shule za msingi za serikali ziwe English Medium nyingi katika miji mikubwa

    Ombi kwako Rais wangu. Shule za Serikali za english medium ni chache sana. Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?

    Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mabweni shule za kata yanaweza kuzuia mimba kwa wanafunzi

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike. Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapongeza wanaume,kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo mwisho wa mwaka,na mengine ya watoto kurudi shule yapo pending

    Natumai wengi wenu mko poa,na wachache wanaoumwa mungu atawapa ahuweni. Bila kupoteza wino kama kichwa cha Uzi kilivyo,ningependa kuainisha mambo ambayo wanaume wa kweli huwa wanayafanya mwisho wa mwaka.Nazani Hii dunia bila wanaume nazani ingekuwa kama mbuga tu. Jamani Kuna wanaume kwa kweli...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Shule Zote za Msingi za Serikali Zisibadilishwe na kuwa English Medium?

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza! Nimefanya utafiti usio rasmi, kwa sasa asilimia kubwa ya wazazi (karibu wote) wanatamani, au wanataka watoto wao wakasome shule za English Medium. Asilimia kubwa (karibu wote) wazazi wenye kipato wamepeleka watoto wao English Medium. Sijajua kama kuna...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Shule za na Vyuo vya Private mnakwama wapi?

    Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali. Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo kulingana na urefu wa kamba zetu
  13. V

    JamiiForums Tanzania Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na hata vyuo vya Kati/Diploma imekuwa kama biashara ya Magendo

    Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators. Tukija katika hoja yenyewe, ukweli ni kuwa Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya secondary ya serikali. Wachache waliobahatika walijulikana kata/tarafa nzima. Je, wewe ni mmoja wao? TABORA BOYS SECONDARY SCHOOL Juzi...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Shule hivi vikao vyenu vya mwisho wa mwaka vina tija kwa Taifa?

    Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu. Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija. Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa shule za Secondari wanavaa Suruali za rangi tofauti wakati nembo zao zinatosha katika kuwatambulisha? What's the logic behind?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wa shule za secondary za serikali wanavaa suruali/sketi za rangi tofauti wakati nembo zao zinatosha kabisa katika kuwatambulisha? Nini mantiki ya kuwa na namna mbili ya...
  17. JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo. Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho. Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho. Mungu wabariki...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni ipi shule nzuri ya wasichana kwa mikoa ya Dar au Pwani?

    Salamu wakuu Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana. NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Hbr wadau hv kuna uwezo wakuama shule ya private kwenda gorvement kwa level ya advance

    Habr wadau hv kuna uwezo wakuama shule ya private kwenda gorvement kwa level ya advance
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili mfumo wa kutangaza Shule inayoshika nafasi ya kwanza nk

    Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk. Faida I. inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule II. inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri. Hasara I. inasababisha wizi wa mitihani ya Taifa II. inasababisha ubaguzi kwa watoto kupitia mitihani ya michujo. Binafsi napendekeza ufutwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…