shule

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali kwenye hifadhi ya barabara

    Wakubwa, Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari

    "Nimefanya ziara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze Modern Islamic. Sekondari hii ni alama ya mashirikiano baina ya Serikali na watu binafsi. Kupitia Serikali ya awamu ya Sita, mashirikiano haya yatazidi kuimarishwa kwa faida ya Taifa letu." Mbunge wa Chalinze Mkoani...
  3. JamiiForums Tanzania Manyara: Maji yarejeshwa katika shule ya msingi Endiamtu baada ya kuripotiwa kukosekana kwa miaka mitano

    Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo. WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
  4. JamiiForums Tanzania Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

  5. JamiiForums Tanzania Serikali irudishe hadhi ya shule za Umma

    Kuanzia kipindi cha mwaka 2010 mpaka hivi sasa tumeshuhudia juhudi za makusudi zikifanywa na serikali katika kuhakikisha kuwa sekta ya elimu licha ya kukua pia inatoa huduma bora kwa wahusika. Miongoni mwa juhudi hizo ni pamoja na mpango wa ujenzi wa maabara katika kila shule ulioasisiwa na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kubadilisha Mfumo wa Elimu ili Kupata Shule Zinazojitegemea na Kujiendesha kwa Faida

    Part One Title: KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU ILI KUPATA SHULE ZINAZOJITEGEMEA NA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUTEGEMEA KARO, VILEVILE KUZALISHA WAHITIMU WENYE UJUZI WA MAZINGIRA YAO NA UHAKIKA WA KIPATO Utangulizi Kuna jambo halipo sawa kwenye mukstabali wa Elimu yetu nchini pamoja na dunia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Daraja kati ya Shule, Elimu na Maisha

    Miaka 0-5; umri huu watoto wengi katika jamii zetu huwa bado wapo nyumbani wakijifunza kuongea, kunawa, kula, kutambaa, kutembea, kukimbia, kurukaruka, kucheza na mambo mengine mengi wanayoyahitaji kwa ajili ya kuishi vyema na kwa furaha. Muda huu ni mzuri na wenye kufaa zaidi, kwa sababu mtoto...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi vijana wanavyoweza kujifunza TEHAMA

    Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato. Utangulizi: Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
  12. JamiiForums Tanzania UNICEF: Watoto Milioni 1 hatarini kukosa Shule Nigeria

    Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) limesema Watoto Milioni 1 huenda wasiende Shule kutokana na matukio ya utekaji nyara yanayolenga Wanafunzi Zaidi ya Wanafunzi 1,000 wametekwa nyara na magenge ya uhalifu katika Majimbo kadhaa Nigeria tangu Desemba 2020, huku mamia bado...
  13. JamiiForums Tanzania Shule nyingi za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zadaiwa kufungwa kwa kukosa wanafunzi

    Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo. Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM ...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania DED wa Gairo aliyeiba mabati ya Shule asimamishwa kazi.

  15. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  16. JamiiForums Tanzania Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

    Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
  17. JamiiForums Tanzania Hali ya Shule maalumu za viziwi zilizopo nchini Tanzania

    Ripoti ya utafiti wa Hali ya Maisha ya Vijana Viziwi Tanzania uliofanywa na Mwanafunzi wa Sayansi ya Jamii Monica Har kutoka Loma Linda University (2011) ilionyesha changamoto wanazokumbana nazo viziwi kwenye kupata elimu Tanzania. Malengo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa (UN) unazitaka nchi kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jakarta, Indonesia: Shule 600 zafunguliwa baada ya maambukizi kupungua

    Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Jakarta umefungua Shule zipatazo 600 baada ya Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko wa COVID19 kulegezwa. Mamlaka zimesema kiwango cha maambukizi kimepungua kutoka mwezi uliopita ambapo Taifa hilo lilitangazwa kuwa kitovu cha maambukizi ya Virusi vya Corona Barani Asia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Samizi, ashiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba

    Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi Jana Jumamosi Agosti 28, 2021 alishiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba. Akiwa kwenye sherehe hiyo kama Mgeni rasmi Dkt. Samizi alizawadiwa na Askofu wa Jimbo la...
  20. JamiiForums Tanzania Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

    Summary Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye. By Hawa Mathias Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…