shule

  1. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

    Kwa wale manofuatilia taarifa za usahihi wa utambulisho wa Denis Urio nadhani mmeona waliosoma sekondari ya Kingori wakikataa kutomfahamu shahidi huyu means awakusoma naye. Nimetafuta ilipo Kingori Secondary inasomeka ipo wilaya ya Arumeru siyo Hai. Nimetafuta wanafunzi waliomaliza form four...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wajawazito kuendelea na shule je, wale walioko jela nao waendelee na masomo?

    Waraka wa Mhe. Waziri wa Elimu unaotoa ruhusa kwa wanafunzi wajawazito kurudi shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua haujatoa majibu kuhusu haki ya elimu kwa wanafunzi/watoto wadogo walioko jela za watoto nao waendelee na masomo wanapotumikia vifungo vyao au hatima za maisha yao ndiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  6. JamiiForums Tanzania Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

    Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nini kifanyike Shule za Serikali zifanye vizuri

    Hello JF, Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

    Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

    Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti. Kinachosikitisha ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira ya utoaji elimu hapa nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Algeria: Shule zafungwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

    Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi. Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid Tebboune baada ya Kikao cha Dharura na Mawaziri pamoja na Maafisa wa Juu wa Usalama na Afya. Nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Mara: RC Ally Hapi atoa mwezi mmoja kwa wazazi mkoani humo kuwaruhusu watoto kwenda shule hata kama ni kwa kuvaa madera

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ametoa mwezi mmoja kwa wazazi mkoani humo kuwaruhusu watoto kwenda shule hata kama ni kwa kuvaa madera lengo ni kuhakikisha hawapitwi na masomo kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Suluhu Samia wa ujenzi wa madarasa kupitia fedha za Uviko "Nisiskie...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimeona ujumbe unaodhaniwa ni wa Balozi wa Uturuki dhidi ya shule za Feza; Naomba Serikali iwe makini na mgogoro huu, wafuate taratibu

    Serikali ya Uturuki ipo vitani kuwasaka wanaodhaniwa kufadhili mapinduzi miaka kadhaa iliyopita. Upo mgogoro mkubwa huko Uturuki na inatamani kuua nguvu za kiuchumi za maasimu wao ambao baadhi ni wamiliki wa Shule ya Feza iliyopo hapa nchini. Serikali yetu inalo tatizo la kiukombozi, wakati...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili 2021 shule haziko 'Alphabetically'

    Hii inaitwa pambana na hali yako. Kuna shule naitafuta toka juzi siioni. Sasa kwa upangaji huu labda inaonekana hayana umuhimu sana na watu hawana mpango nayo. Sidhani kama watu wote wanatumia vifaa 'advance' vya kuweza kuwasaidia kupata kitu anachokitaka kwa haraka. Sijui tunakwama wapi.
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Shule za Serikali za vipaji maalum hazifanyi vizuri mitihani ya kidato cha nne (CSEE) tofauti na ile ya kidato cha sita(ACSEE)

    Hizi shule zinachukua wanafunzi wa wastani wa juu kabisa, yani wanafunzi waliofanya vizuri darasa la saba kwa kifupi wanachukua Cream tupu, Hapa naongelea shule kama Kibaha, Mzumbe, Kisimiri, Msalato, Tabora Boys n Girls , Kilakala na Ilboru .Shule hizi upande wa Olevel hazifanyi vizuri sana...
  17. JamiiForums Tanzania Siri ya ufaulu ya baadhi ya shule za sekondari hii hapa

    Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na zinatumika sana kwa shule binafsi zenye majina makubwa ili waendelee kupiga pesa ndefu. (Hii ni biashara...
  18. JamiiForums Tanzania Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

    Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha. Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia! Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni...
  19. JamiiForums Tanzania Hii shule imenikosha wamefanya vizuri

    Nimefurahishwa n haya matokeo
  20. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kitado cha nne 2021-mkoa wako-haumo; shule uliyosoma -haimo; wanakosoma wanao-haimo

    Shule 10 Bora Kitaifa kwenye matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa leo January 15, 2022 na NECTA 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua Seminary - Kilimanjaro 7. Feza Boys - Dsm 8. Precious Blood -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…