shule

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikisha kwa mara ya kwanza wanafunzi zaidi ya milioni moja kwenda shule kwa pamoja

    Leo Jumatatu ya tarehe 09/01/2023 wanafunzi wamefungua shule ikiwemo wanafunzi 1,073,941 walioanza kidato cha kwanza ambao wote walipangiwa shule hakuna mwanafunzi ambaye yuko nyumbani kusubiri chaguo la pili "Second Selections" Ikumbuke tangu kuanza kwa utoaji wa elimu bila malipo nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukosewa majina ya wanafunzi wakati wa kusajiliwa kufanya mitihani ya taifa kunasababisha kutofautiana na vyeti vya kuzaliwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano, John -Joni Peter-Pita Rehema-Rehem Na mengine kukosewa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji: Shule ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ruvuma

    Mwonekano wa Ujenzi wa Shule mpya maalum ya Sekondari ya Bweni na sayansi ya Wasichana katika Mkoa Ruvuma kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita iliyosajiliwa rasmi kwa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya Namtumbo. Ujenzi wa shule hiyo Mpya unatekelezwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4,224 pekee wachaguliwa Shule za Bweni Kidato cha Kwanza kati ya 50,475 wanaostahili

    Uchache wa Shule za Bweni nchini umesababisha Wanafunzi 46,251 kukosa nafasi ya kujiunga na Shule zenye huduma hiyo Nchini Idadi ya Shule za Serikali zinazochukua Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2023 ni 4,307 ambapo Shule za Kutwa ni 4269 na Bweni ni 38 zenye uwezo wa kupokea Wanafunzi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

    Habari wadau. Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu? Maana waarabu...
  8. JamiiForums Tanzania Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  10. S

    JamiiForums Tanzania NECTA: Matoke ya form 4 na form 2 yanatoka lini ili shule zilizovurunda zife?

    Wanafunzi wamefanya paper mwezi November. Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin? Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye shule hizo. Hivyo NECTA harakisheni kutoa matokeo ili aibu izikumbe shuke za kibabaishaji zinzopotozea...
  11. JamiiForums Tanzania Malawi yatangaza kuchelewa kufungua Shule kutokana na Kipindupindu

    Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya private ya day Tabata

    Habari, Natafuta shule nzuri private ya secondary iwe day. Pia mwenye contact namba za shule inaitwa Christ the king sec school na Mwenyeheri Anuarite sec school. Namba walizoweka mtandaoni hazipatikan/zimezuiliwa.
  13. JamiiForums Tanzania Pata pochi, mabegi ya shule na safari begi kwa bei nafuu

    Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana. Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  15. JamiiForums Tanzania WALEZI: Tununue vifaa vya shule

    Habarini wana-JF wenzangu. Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, ninawakumbusha wazazi/walezi wenzangu kwamba, tutenge muda mapema hii kuwanunulia watoto wetu vifaa vya shule, kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima. =============== Zikiwa zimesalia wiki mbili muhula mpya wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Orodha ya shule

    Habari wakuu!, Naomba kujua wapi naweza kupata orodha ya shule binafsi Tanzania? Iwe ofisi au mtandaoni. Nina shida nayo sana.
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022. Hali hii imekwenda mbali...
  18. JamiiForums Tanzania Shule inayotembea

    Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi. PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm. 0622374787 or PM to get my email
  19. JamiiForums Tanzania Nimelelewa na kusoma shule za Mapadri lakini ni Muislam safi tu. Habari za kubishana kuhusu dini hazina maana

    Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima. Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta shule za Advance zenye mchepuo wa PCM, PGM

    Msaada wana Jf ,nahitaji kupata shule za advance zenye mchepuo wa PCM na PGM za private na za serikali zinazofanya vizuri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…