shule

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Azindua Shule Iliyojengwa kwa Tsh. Milioni 398

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde. Wakazi wa Kata ya Usimba walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Sekondari hii ambayo itawapa manufaa watoto...
  2. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  3. JamiiForums Tanzania MAJINA YA KUITWA KWENYE SHULE YA MAFUNZO YA UPOLISI MOSHI YAMETOKA.

    Habari za zenu wakuu. Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana. Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale Tulisoma Advanced kwenye Shule za Technical

    Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi. Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia kupata ujuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwaajili ya tuition pre-form one kati ya makambako au iringa

    Natumaini wote ni wazima na weekend inaenda sawa. Msaada tafadhali shule iwe ya bweni🙏
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

    Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA. Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali umebaini zipo tabia mbaya kwa baadhi ya walimu

    Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto! Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu! Miongoni mwa mambo niliyobaini 1. Walimu hawafuati ratiba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

    Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
  10. JamiiForums Tanzania Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Salaam wana jukwaa. Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology). Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
  11. JamiiForums Tanzania Eneo la shule linauzwa Dodoma Eneo la Mtumba Mji wa serikali

    Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali. Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000 Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm Ni surveyed pot Fixed Price Interested njoo PM Au +254746360628 only whatsapp Ramani ipo kwenye attachment
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwa sasa unafanya kazi ya ulichokisomea au ulipoteza tu muda na pesa shule funguka

    Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv) Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
  13. JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  14. JamiiForums Tanzania Shule za Sekondari Same na Mwanga

    Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary. Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na Mwanga. Nimechagua maeneo hayo nikiamini kuwa hayana baridi sana. Shuke iwe ya mchanganyiko maana...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moto waua Wanafunzi 16 wa Shule ya Hillside Endarasha, 14 wajeruhiwa

    Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa la nne Shule ya Mapinduzi adaiwa kubakwa Mbeya

    Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga Kijaana akaanza kufanya anayotaka...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ambayo inaweza kunipa nafàsi yakuwa kwa mkaguzi wa shule?

    Habari ya jioni.. wanadai msaada ni kozi gani mtu anaweza kusoma Ili apate teuzi ya kuwa Mkaguzi Mashuleni.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

    Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheria
  20. JamiiForums Tanzania Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

    Mko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi Mnisamehe sio mwandishi mzuri Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu wa shule mkali kweli kweli alikuwa Hana utani hata kidogo linapokuja suala la nidhamu na mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…