shule

  1. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Ijenge shule za Michezo kila Mkoa

    Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
  3. JamiiForums Tanzania Shule ya Meta Sekondari Mbeya ni mali ya serikali, serikali itueleze CCM waliipataje?

    Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana wasiolala shuleni. Mji wa mbeya ulikuwa na shule za tatu kati(middle) tatu, yaani N.A. wavulana, Meta...
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa madarasa shule ya msingi Mkululu

    Hali ni mbaya sana yule ya msingi Mkululu watoto wanasomea chini ya miti kwasababu ya kukosa madarasa. Shule ipo kata ya Mkululu wilaya Masasi mkoa wa Mtwara. Raisi tunaomba msaada wako.
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni: Mgombea awataka raia wazidi kuzaliana ili serikali ijenge shule

    Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kambarage uliyopo katika halmashauri ya mji wa Njombe anayetetea nafasi hiyo kwa mara nyingine, Francis Msanga ametoa wito kwa wananchi wa mtaa huo kuongeza kasi ya kupata watoto na idadi ya wananchi iongezeke zaidi ili serikali iweze kuwapa...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania sio washangiliaji hata wakiingia Bure wanaenda kukaa tu nakutafuna popcorn ni afadhali tungepeleka jkt, wanafunzi wa shule zote na scout

    Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke uzio katika Shule ya Msingi Minga (Singida), kuna Watu wanawafanyia ukatili Watoto

    Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
  8. JamiiForums Tanzania Niko Uganda, timu yao imefuzu AFCON ila sijasikia Mseveni akisifiwa wala kuongelewa

    Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia...
  9. JamiiForums Tanzania Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  10. JamiiForums Tanzania DC wa Ikungi: Tunachunguza tuhuma za Mwalimu wa Shule ya Mandimu (Singida) anayedaiwa kudhalilisha Wanafunzi

    Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule. Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
  11. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Shule ya Ubungo NHC haiuzwi, inaboreshwa

    Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kuwa Shule ya Msingi National Housing iliyopo Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es asalaam inauzwa, kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa wazazi na jamii. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika shuleni hapo kukutana na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania DC Ubungo: Hakuna Shule inauzwa Ubungo

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekanusha taarifa zilizozua taharuki mitandaoni kwamba Shule ya Msingi ya Ubungo National Housing ambayo ni ya Serikali, imeuzwa kwa Wawekezaji. Akiongea leo November 13,2024 kwenye mahojiano maalum na Ayo TV akiwa Shuleni hapo, DC Bomboko amesema Shule...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi Kiteto Wamuomba Mbunge Ole Lekaita Shule ya Sekondari, Umeme na Barabara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500. Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki yazuka, Wazazi wajaa Shule ya Msingi Ubungo NHC baada ya taarifa kuwa shule inauzwa

    Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo Jumanne kwa ajili ya kikao kilichopangwa. Hali hii ilisababisha taharuki miongoni mwa wazazi. Tulipofika...
  15. JamiiForums Tanzania Mda wa mtoto kuwa shule upunguzwe

    Mda ambao mtoto anautumia kuwa shule ni mda mwingi mno. Namaanisha ni ile anaenda shule saa 11 asubuhi alafu anarudi saa 11 jioni, kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,. Hii inapelekea mtoto kukosa malezi bora ya mzazi na kutengeneza jamii isio na maadili mema. Au kama ni ngumu kupunguza mda wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii kero ni kwa shule hii Tu au huko kwengine yapo haya?

    Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge. Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
  18. JamiiForums Tanzania Zainab Katimba: Serikali Itaendelea Kukarabati Shule Kongwa

    MHE. KATIMBA - SERIKALI ITAENDELEA KUKARABATI SHULE KONGWE Serikali imeendelea kutenga fedha za ukarabati wa shule chakavu nchini zikiwemo shule za msingi katika Vijiji vya Kalundi, Lyapinda na Londokazi kadri ya upatikanaji wa fedha. Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi...
  19. JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…