shule binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa Pre-Form one kuwa lazima kwa baadhi ya Shule Binafsi ni sahihi?

    Baadhi ya Wadau wa Elimu wameomba Mamlaka kudhibiti utaratibu huu, huku Wengine wakiona ni Sahihi. Kwa hoja hizi na nyingine nyingi jiunge nasi Twitter Spaces ya JamiiForums muda huu uweze kuwa sehemu ya mjadala huu. Bonyeza hapa kujiunga > JF SPACES Mkaka Smart Mimi nachukulia positive...
  2. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za TRA katika kufungua Shule Mpya

    Habarini Wakuu, Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022. Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia. kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje...
  3. Mtini

    JamiiForums Tanzania Graduation za watoto wa chekechea (Shule binafsi) ni aina nyingine ya upigaji

    Shule za chekechea za binafsi zimekuja na kitu wanaita graduation kwa ya watoto wa chekekechea na huku wakimtaka mzazi kuchangia hadi 70,000 kwaajili ya kufanikisha sherehe ikiwemo kukodi joho. Binafsi naona huu ni upigaji, wizara husika iliangalie ili
  4. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ni sawa wanafunzi kusimamishwa masomo kwa kutolipa ada?

    Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)? Mfano: Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
  5. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Wamiliki Wa Shule Binafsi Hii Nimuhimu Sana Kuipitia

    Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya njema na mko salama kabisa, Nitaenda moja kwa moja juu ya mada yangu Ulimwengu unakua kwa kasi kubwa sana huku teknolojia ikiwa msitari wa mbele kabisa katika kuongoza ukuaji wa dunia. sasa ni kitu gani kwa watu wa shule binafsi mnaweza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako ni kweli Serikali inazifaulisha makusudi shule za Serikali dhidi ya shule Binafsi?

    Mh. Prof Ndalichako, 1. Kuna taarifa kuwa Serikali imekuwa kwa makusudi ikijitahidi kuziinua shule za Serikali/kata katika mitihani at the detrimwent of shule za binafsi hasa zinazofanya vizuri. 2. Kwa makusudi kabisa inasemekana shule za binafsi zinazofanya vizuri/zenye historia ya kufanya...
  7. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nani msemaji wa elimu aliyebaki Bungeni? Naona walimu wa private wananyanyaswa sana

    Kuna shule flani kule Arusha inanyanyasa sana walimu na hakuna wa kuwasemea. Waajiri wanatumia kukosekana kwa ajili kunyanyasa walimu. Hiyo shule ukiajiriwa tu unanyanganywa simu huruhusiwi kutumia kabisa, huruhusiwi kuingia na kitabu darasani, walimu wanavaa uniform kama wanafunzi, wanakula...
  9. mcfm40

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Tunaomba serikali na hasa Wizara ya Elimu na ike ya Tamisemi waliangalie sana hili na kulitolea muongozo mapema. Malalamiko yenyewe ni kwamba kumekuwa na utaratibu kwa shule za binafsi hasa zile za English Medium kuzuia wanafunzi wa madarasa ya mitihani kwenda likizo hasa ya mwezi wa sita...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi ziheshimu likizo za watoto wetu

    Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo? Likizo...
  11. epigenetics

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2009

    Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA. Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida. http://www.necta.go.tz/acsee2009/acsee2009.html Soma Pia Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani Matokeo ya mtihani wa kidato...
Back
Top Bottom