shujaa

The Kenya national rugby sevens team competes in the World Rugby Sevens Series, Rugby World Cup Sevens and the Commonwealth Games. They are currently one of the 15 "core teams" of the World Series, with a guaranteed place in all 10 events each season. Kenya recorded its first tournament win in the World Rugby Sevens Series after beating Fiji at the 2016 Singapore Sevens.
Kenya has also been successful in the Rugby World Cup Sevens, reaching the semifinals in 2009 and again in 2013.The Kenya Sevens team is sometimes referred to by the Kenyan and international press as Shujaa, a Swahili word meaning courage, confidence, bravery, or heroism. The Kenya national rugby sevens team is one of the more successful sporting teams representing Kenya. They have won the men's Team of the Year category six times at the Kenyan Sports Personality of the Year Awards: 2004, 2007, 2008, 2009, 2013, and 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

    Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
  2. Nyankurungu2020

    Tangu alipofariki Shujaa wa Afrika John P Magufuli taifa la Tanzania lina mpasuko mkubwa kisiasa, kidini na hata Ideologically

    Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote. Aliunganisha wananchi wote wa...
  3. Idugunde

    Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

    Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
  4. The Palm Beach

    Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
  5. Nyankurungu2020

    Nicolus Maduro amesalitiwa kama shujaa wetu hayati Magufuli alivosalitiwa

    Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake...
  6. funaku

    Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

    Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE. Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa...
  7. fimboyaukwaju

    Djigui Diarra ni shujaa

    Leo kaipigania timu yake ya Mali vibaya sana
  8. M

    Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  9. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Wazo la Leo: Kwa Mwoga huenda Kicheko kwa Shujaa Kilio -Nimewaelewa Wahenga

    Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa. Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high five". Tunawaona wanacheka lakini nyuso zao zimejaa hofu..hoja zao zimejaa vitisho...kauli zao ni za...
  10. Kubwjing

    Mfahamu Lenana Ole Mbatian, Laibon maarufu na shujaa wa kimasai

    LENANA Ole MBATIAN, Ni Laibon (Mungu) wa Kimasai aliyepata kuishi Kenya na alitawala kuanzia mwaka 1887 mpaka miaka ya mwanzoni mwa 1900 kwa eneo la Nairobi na Tanzania pia. LENANA, Ni miongoni mwa Vijana HODARI na SHUJAA SANA wa kimasai ambaye kama ilivyo kawaida ya Wanaume wa Kimasai kuwa...
  11. 100 others

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  12. nodetz

    Je, Nelson Mandela ni kweli alikua shujaa wa afrika au historia yake kuna namna imechezeshwa?

    Kimsingi huwa nashindwa kuelewa kivipi msimamo wa Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani ulibadilika?. Wengine usema Mandela aliyeingia gerezani na Mandela aliyetoka gerezani ni wanaume wawili tofauti. Baada ya kusoma historia yake unaweza kuona Mandela aliyefungwa jela alikua ni wamoto sana...
  13. Lucas mwashamba

    Licha ya kumtishia uhai bado yupo na ujasiri na kujiamini na kuwatisha wanao mtisha Je wa mjua ni shujaa Gani anaeogopwa na wenye kumiliki silaha

    Ndugu zangu watanzania, Nimebubujikwa na machozi Leo hii baada ya kuona nukuu iliyo tukuka na kujawa na baraka toka kwa Allah na mtume wetu kipenzi s.w.a huu ya shujaa wetu na kipenzi chetu na mtetezi wa wanyonge wa nchi hii Ndugu zanguni fikilieni hakimu yule anaye simamia kesi ya lisu au...
  14. M

    Serikali itupie macho Kaburi la shujaa Balozi,Luteni Jenerali,Silas Peter Mayunga lililopo Maswa

    Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa katika hali ya kusikitisha, kana kwamba limetelekezwa. Kaburi hilo lililopo katika makaburi ya...
  15. D

    R.I.P John pombe Magufuli shujaa wangu mda wote

    Naandika kwa uchungu sana kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 Magufuli alifanya mambo ya kutisha sana tena sana mafisadi na matapeli walimchukia na kumthihaki .. Inasemakana mzee wa kusini ambaye tayari alishatangulia mbele za haki ndo alimchagua kuwa mgombea .. kuna kipindi alituita malofa ila...
  16. Pascal Mayalla

    GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

    Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha. Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!! Hiki ni kituko sana. Sisemi kuwa...
  18. Dennis Robert Shughuru

    CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

    Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na...
  19. R

    Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
  20. J

    TEC wasingeweza kumzuia Shujaa Magufuli kuwasalimia Waumini ibadani, Shujaa alikuwa na Hofu ya Mungu wa mbinguni!

    Nimeona kuanzia Kenya na Tanzania katazo la Kamisa Moja Takatifu la Mitume kuwazuia viongozi wa kisiasa kuhutubia waumini inadani Katazo hilo kwa Shujaa Magufuli lisingetekelezeka kwa sababu angeomba kupewa kifungu cha Sheria kinachozuia Ahsanteni sana Mlale unono 🙏
Back
Top Bottom