show

A talk show (or chat show in British English) is a television programming or radio programming genre structured around the act of spontaneous conversation. A talk show is distinguished from other television programs by certain common attributes. In a talk show, one person (or group of people or guests) discusses various topics put forth by a talk show host. This discussion can be in the form of an interview or a simple conversation about important social, political or religious issues and events. The personality of the host shapes the tone of the show, which also defines the "trademark" of the show. A common feature or unwritten rule of talk shows is to be based on "fresh talk", which is talk that is spontaneous or has the appearance of spontaneity.The history of the talk show spans back from the 1950s to the present.Talk shows can also have several different subgenres, which all have unique material and can air at different times of the day via different avenues.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

    Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilimsomesha binti akaishia kuwa mcheza show

    Naandika hili hapa kwa moyo mkujufu, sina kinyongo na wala sijutii ila namhurumia sana. Mwaka 2015 ilikuwa ni first appoitment yangu as mwalimu, nilimkuta huyu binti akiwa kidato cha tatu, baada ya miezi mitatu niligundua ni mtoto mwenye uwezo wa juu darasani. Baadae nikaja kufahamu kama ni...
  3. JamiiForums Tanzania NFL(Super Bowl) Halftime Show

    Ulishawahi kusikia au kuona Moja ya show kali ya muziki hapa dunian? Najua umeona ila je ya Super Bowl Halftime Show umeshatazama, hili ndio Gumzo Kila mwaka mpya unapoanza na tamati yake huwa February ya Kila mwaka. NFL Super Bowl ni mchezo maarafu huko Amerika ya kaskazini hasa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

    Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul. Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu. Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria. Quality ya performance haijawai...
  5. JamiiForums Tanzania Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

    Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu. Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia. Mwanamke akiamua kuuza "Papa"...
  7. JamiiForums Tanzania Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

    Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Sitaki Show Off!

    Sitaki Show Off!
  9. JamiiForums Tanzania Hii show ya Fally Ipupa, Kinshasa itaweka rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi.

    Wakuu nimesoma mitandaoni kuhusu show ya Fally Ipupa huko kwao Kinshasa nikabaki kinywa wazi. Huyu jamaa yuko serious. Hakuna longolongo. Yaani pamoja na kufanya promo kwa mbinu zilizozoeleka lakini kijana akaamua kukodi ndege kadhaa kwa ajili ya kutangaza show mjini Kinshasa. Tazama picha jinsi...
  10. JamiiForums Tanzania Australia's Got Talent 2022 The Amazing Ramadhani Brothers from Dar es salaam Tanzania

    Golden Buzzer!! Summary Ibrahim and Fadhil stun the Australia's got Talent with heart- stopping stunts. Both Ibrahim and Fadhili made both the judges and the show participants feel the tension through their outstanding acrobatics. Unravelling their journey with The Beat, the two detailed...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya kazi kwa miaka saba, Trevor Noah ameachana na The Daily Show

    Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
  12. JamiiForums Tanzania Trevor Noah kujiuzulu kama mtangazaji wa The Daily Show

    Katika ujumbe wa video, alisema "alijawa na shukrani kwa ajili ya safari" lakini kwamba kulikuwa na "sehemu nyingine ya maisha yangu ambayo ninataka kuendelea kuifatilia". Mchekeshaji huyo mwenye miaka 38 amekuwa kwenye kipindi hicho tangu achukue mikoba ya Jon Stewart mnamo 2015. Alisema muda...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti Hii Naweza pata gari gani mtumba show room

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo . Au nicheki kwa 0713 039 875
  14. JamiiForums Tanzania Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

    Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
  15. JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

    Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  17. JamiiForums Tanzania Eric Omondi akerwa na Diamond Platinumz kufanya show ya Kampeni Kenya

    Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo. Diamond ameingia Kenya leo akitokea Afrika Kusini alikoenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Natabiri show ya leo Tcc wasanii wengi kuimba wakiwa BWIIIIII

    Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo wanalewa kupita kiasi na wana stress sana tutarajie nusu ya PAFOMAZI kuimba wakiwa bwax yaani itakuwa mikoromo...
  19. JamiiForums Tanzania Harmonize anusurika kupewa kipigo Kenya baada ya shoo yake kubuma na kutaka kutoroka!

    Harmonize alikuwa na show nchini Kenya lakini kwa mara nyingine tena amekosa watu kama kawaida yake akifanya shows nje ya Tanzania. Na alipojaribu kutoroka hiyo aibu aliishia kukoswa koswa na kipigo kitakatifu kutoka kwa wakenya wachache waliojitokeza. Bahati nzuri polisi waliwahi na kumchukua...
  20. N

    JamiiForums Tanzania CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

    Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo Pearl Thusi Back to the point, ni kwamba CEO kamchachana sana yule kocha katoa ushahidi wa kila aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…