shoo

Shōō (勝央町, Shōō-chō) is a town located in Katsuta District, Okayama Prefecture, Japan.
In April 2017, the town had an estimated population of 11,237 and a density of 210 per square kilometre (540/sq mi). The total area is 54.09 square kilometres (20.88 sq mi).
Shōō is said to be the place where Kintarō died.

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

    Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke. Sasa tangu juzi, amekuwa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Shoo amaliza mgogoro wa Dayosisi ya Kusini Mashariki

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Fredrick Shoo amefanya ziara ya siku tatu mkoani Mtwara kwa ajili ya kutatua mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka sita. Akizungumza jana Jumatano Machi Mosi, 2023 baada ya kumaliza kwa vikao vinne vilivyofanyika kwa siku mbili...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu umenifanya nile vyakula vya kithungu leo. Bado upande wa pili, tufanyie marekebisho Dar

    Kuna viongozi wa dini walijsahau wakajiona miungu mtu badala ya kutumikia wananchi wamekuwa wakitumia madaraka vibaya kuwaadhibu wabaya waooo Wapooa waliokwenda mbaolli wskafikia kutaka vipusa vya wenzao walio chini yaooo Haitoshi wapoo walioamua kuwaadhibu wenzao kisa tu kuhoji matumizi ya...
  4. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

    Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia. Ila kizuri ni kwamba...
  5. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Safari yetu wana JamiiForums Udzungwa Mountains National Park, Mwanihana Peak na Sanje Waterfalls

    Noela Shoo ni binti mdogo kwa umbo lakini she is so tough in action. Wadada na wamama Tunaopenda hiking tumekuwa tukiongozwa mara nyingi na wanaume, na kama ujuavyo changamoto zinazokabili mbuga na hifadhi zetu, vyoo ni mpaka ukute camp, kwa hiyo ukiwa njiani huwi comfortable sana. This...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kisingizio gani uliweka kwa mwenza wako baada ya kujua umepiga shoo mbovu?

    Habari wadau, Mafarisayo, wapambanaji, watafutaji bila kusahau wachakataji. show yangu mbovu kuliko zote ni mwenda zake aligoma kusimama kabisa bustani ya eden nilivuta bangi na hisia zote lakini wapi wala hakutikisika. basi binti alituma sana salamu BJ lakini wapi sijui mizimu ilitaka...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo akaliwa kooni, pia 'Mungu wa Zagamba' asakwa kwa ubakaji

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 3, 2022
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile. “Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT limekuwa na migogoro mingi chini ya uongozi wa Askofu Shoo, Maaskofu waazimie kumuondoa

    Kama kuna heshima iliyobaki ya kanisa hili, basi imeshikwa na yule mchungaji wa kijitonyama, pamoja na kwaya ya kanisa Hilo, kwingine kote ni aibu. Uongozi wa Askofu Shoo umezalisha migogoro Kila mahala, vurugu Kila mahala, nahisi kiatu Cha ukuu wa kanisa hakimtoshi. Nashauri kikao Cha dharura...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Frederick Shoo: Viongozi wa dini wanapaswa kutoegemea upande mmoja wa siasa kwa kuwa watu wa vyama vyote ni waumini wao

    MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, amekemea vitendo vya kupigwa na kudhalilishwa kwa baadhi ya wagombea hasa wanawake katika kampeni za uchaguzi na kutahadharisha kuwa iwapo vitendo hivyo, vikiaachiwa viendelee vitahatarisha amani. Sambamba...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo na Bagonza waanza mkakati wa kuwaondoa maaskofu, wachungaji wasiojihusisha na siasa. Wavunja Katiba kumuondoa Dk. Mwakitali Jimbo la Konde

    Askofu Dk Shoo na Bagonza wanajitambulisha kama vinara wa kupenda haki na kutii katiba, katika Jimbo la Konde, wamedhihirisha rangi yao, wamevunja katiba ya kanisa ili kumuondoa Askofu Dk. Mwakitali. Dk Mwakitali ni moja ya maaskofu wa KKKT ambao wamejikita katika kazi ya kichungaji zaidi na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

    Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie: Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

  14. T

    JamiiForums Tanzania KKKT Konde msimushambulie Mkuu wa Kanisa Dkt. Shoo

    Taarifa zinazosambaa mitandaoni kupitia Mwananchi digital zikionyesha baadhi ya wachungaji kumlaumu Mkuu wa Kanisa kushauri kiti cha uaskofu kurudi Tukuyu. 1. Enyi wachungaji mnajua maana ya KITI CHA UASKOFU? 2. Mnajua hicho kiti kilisimikwa wapi? 3. Mnaijua Katiba yenu? 4. Mnajua na kuelewa...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

    Mambo mengine ni kushangaza sana inakuwaje Kanisa lenye waumini wengi kujiendesha kama klabu ya pombe hukuna maelewano ni vurugu, tamaa ya mali hakuna uungu hapo. Siku chache baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT), Dk Fredrick Shoo kuagiza kiti cha Askofu Dk...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Live: Newcastle Utd vs Totteham hotspurs. Achana na shoo za kitoto.

    Kwa nini uangalie mechi ya kishamba kama ya Jwaneng? Mtananange ndio huu sasa.
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Rais Samia ameletwa ili atibu majeraha

    Askofu Shoo wa Moshi Kilimanjaro ambapo pia ni askofu wa Kanisa la Lutheran,ambalo linamilik Hospitali kubwa kabisa hapa nchini ya kisasa na yenye mandhari nzuri zaidi KCMC amesema Rais Samia ameletwa ili atibu majeraha, swali:- 1. Majeraha tuliyo nayo ni yapi? 2. Majeraha yalianza lini? 3...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

  20. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam. Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda...
Back
Top Bottom