shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. yahooo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya nauli ya treni kutoka Shinyanga kwenda Dar

    Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Christina Mnzava Agawa Vifaa vya Michezo kwa Wanafunzi Shinyanga Vijijini

    MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Wakunga wa Shinyanga DC na Manispaa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba mnamo tarehe 9/7/2024 alishiriki kugawa Mitungi ya Gesi kwa Wakunga wa Shinyanga DC na Shinyanga Manispaa kuwahamasisha kutumia nishati mbadala "Tunatambua majukumu waliyonayo Wakunga, ili kutimiza majukumu yao kwa haraka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mkoa Shinyanga yafafanua madai ya kutoza gharama kubwa kwa wanaohitaji Ambulance

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia gharama wanazotozwa wahitaji wa huduma ya Ambulance katika Hospitali ya Mkoa Shinyanga, kumsoma Mdau bonyeza hapa ~ Gharama za “Ambulance” Shinyanga ni mateso kwetu walalahoi Uongozi wa Hospitali umetoa ufafanuzi. TAARIFA INAYOSAMBAA MTANDAONI DHIDI...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi

    MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum. Akiambatana na Kamati ya Usalama...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Gharama za “Ambulance” Shinyanga ni mateso kwetu walalahoi

    Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya uwepo wa magari hayo lakini gharama zake sio stahimilivu kwa Mwananchi wa chini. Mfano Hospitali ya...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkuu wa Wilaya Mtatiro, abomoa Karavati lililochakachuliwa kwenye Barabara ya Lyabusalu Mwajiji

    MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa shilingi 111,822,000 (Mil. 111) wa barabara ya kilomita 5 wa Lyabusalu Mwajiji - Halmashauri ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi waliowagaragaza raia kwa kushindwa kulipa ushuru wasimamishwa kazi

    Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa ushuru katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mkuu wa wilaya ya Kahama...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga aliyetaka kufahamu, Serikali ina mpango gani kutatua changamoto ya ajira kwenye Miradi ya Kimkakati...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atoa Vifaa vya Michezo Lubaga Sekondari Manispaa ya Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Christina Mnzava ameadhimisha sikukuu ya Muungano kwa kutoa VIFAA vya michezo ambavyo ni mpira wa miguu na mpira wa netball pamoja na jezi nzuri za kisasa za netball na football. Dkt. Mnzava akizungumza na qanafunzi na walimu wa shule ya...
  13. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa tena na Mh. Rais kua mkuu wa wilaya ya Shinyanga. Najua na kuamini utendaji kazi wako ndiyo msingi wa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Kituo cha Afya chagundulika kuhifadhi Damu kwenye Majokofu ya nyumbani

    Mkurugenzi wa huduma za afya ustawi wa jamii na lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Rashid Mfaume amebaini ukiukwaji wa manunuzi ya vifaa ikiwamo jokofu za kuhifadhia damu katika kituo cha afya Mwalugulu, katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Dkt. Mfaume amebaini hayo...
  15. immah_255

    JamiiForums Tanzania Bei ya Guests House Shinyanga

    Wanajamvi habari za sikukuu ya Eid El Fitril, naomba kwa anayefahamu bei rafiki kwa guests house za Shinyanga maeneo ya Iselamagazi.
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga

    Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi. Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

    MTATIRO ASHUSHA BEI ZA MAJI SHINYANGA VIJIJINI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji kwenye kata mbalimbali za jimbo la Shinyanga Vijijini na kutaka bei mpya ziwe sawa na zile za Shinyanga Mjini mara...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli mfano Shinyanga kwa sasa bila Kahama basi ingeshajifia

    Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa. Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha...
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Katika kikao kifupi cha makabidhiano ya ofisi, kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya...
Back
Top Bottom