Yaani Tanzania ni banana republic.
Leo weekend nimetulia nasoma habari za Tanzania, nkakutana na kituko Cha Karne.
Rose Manumba DED wa Msalala-Shinyanga, halmashauri yake imepata hati chafu Kwa miaka miwili mfululizo, mwaka huu eti wakaguzi kutoka wilayani, walizuiwa na huyo Kibaka Rose...