shinikizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  2. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Rais Biden na shinikizo la kujiuzulu

    Kifupi naungana na Wanachama wanaotaka aachie madaraka na kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwa mshindani wa Trump. Hadi kufikia hatua ya kutaka kumbusu mwanamke mwingine akidhani mkewe Jill, mzee amechoka hakika Kwa maradhi basi tu anashinikiza kutaka kugombea urais Kwa muhula mwingine
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

    Salaam wakuu! Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu? NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa kielektroniki wa kuhifadhi na kuhuisha taarifa za shinikizo la damu za Watanzania ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza

    UTANGULIZI Magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayatokani na kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, magonjwa yasiyoambikizwa yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzania. Vifo 32 kati ya 100 duniani kote...
  7. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu). Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akubali kubadili tarehe ya Uchaguzi Mkuu baada ya shinikizo la Maandamano

    SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani. Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIRI: Timu yetu ya Taifa Stars isipokuwepo na promo ya media,ahadi za wanasiasa,kocha akipanga timu mwenyewe bila shinikizo mara nyingi tunafanikiwa

    Mods naomba msiunganishe hii thread! Leo hii kila Mtanzania akiwa na Furaha baada ya timu yetu ya Taifa Stars Kufuzu Afcon mwakani. Sasa kila Mtanzania ana uhakika wa Kukaa kwenye TV na kuona Vijana Wetu wakiliwalisha Taifa Huko Ivory Coast... Sasa tumegundua ya kuwa timu yetu Ili kufanikiwa...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Katika Wanaume watano, mmoja ana Shinikizo la Juu la Damu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo. Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
  13. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda wa Star TV huenda akafutwa kazi kwa shinikizo la wakubwa

    Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star TV, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa." Nukuu ya chanzo; Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha...
  14. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ugonjwa wa Shinikizo la Damu ni wa Wote Sasa, Tuwajibike Kuudhibiti

    Utangulizi Miaka ya nyuma, magonjwa mengi yasioambukiza yalitawala sana nchi zilizoendelea, magonjwa haya ni shinikinizo la juu la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya figo, na kadhalika; ambayo pia yaliwapata watu wenye umri mkubwa, yaani kuanzia miaka 60 na kuendeleza. Wakati huo, nchi nyingi...
  15. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anasalitiwa?

    Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye. Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson ajiuzulu Ubunge kwa shinikizo

    Johnson ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na baadaye kujiuzulu kutokana na sakata la Brexit, amefikia uamuzi baada ya Kamati ya Haki za Bunge kubaini alipotosha Bunge na hivyo kupendekeza asimamishwe Ubunge kwa siku 10. Mbunge huyo wa chama cha 'Conservative' kutoka Majimbo ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiteknolojia ya Marekani inaweka shinikizo kwa biashara zake yenyewe

    Kampuni kubwa ya simu ya Marekani, Apple, inapanga kutoa punguzo la bei la yuan 700, sawa na dola za kimarekani 103 kwa simu zake zote za iPhone 14 Pro zinazouzwa nchini China. Hii ni kwa mujibu wa waraka wa ndani wa SUNPIE, wakala maalum wa kampuni ya Apple nchini China. Na katika baadhi ya...
  19. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo dume, wimbi la shinikizo la mume kuzikwa nyumbani

    Watetezi wa haki ya binadamu mko wapi? Watetezi wa wanawake mko wapi? Vyombo husika viko wapi? Nawasalimu nyote, Hivi karibuni kumeibuka kama mara mbili hivi kwenye vyombo vya habari vya mitandao, mwanamke akifiwa na mumewe na kama wamechuma mali pamoja au la, au hata kama kuna nyumba imeachwa...
Back
Top Bottom