The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 750
- 1,767
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.
Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor
Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor