Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Habarini wadau na washauri wa JF

Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea.

Tumeenda vizuri, tumeishi kwa furaha saanaa ghafla mambo yakaanza badilika baada ya mwezi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia maybe i love u anajibu thanks nachoumia akihitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia maybe kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa, yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje maana naumia sana, kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
 
MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.

Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi

Hebu weka sawa hapa...

Hivyo vitu vingi sana vilivyofanyika, vimefanyika ndani ya huo mwezi mmoja na nusu?

Au kwa lugha nyingine, umri wa mahusiano yenu ni mwezi mmoja na nusu tu?
 
Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.

Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia may be i love u anajibu thansk nacho umia akiitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia may be kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje mana naumia sana kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Acha ujinga wewe mwanamke hapendwi bwana. Mwanamke ni wa kugegeda tuu na kutupa kule....ebu fanya kupitia ule uzi wa wanawake warembo duniani ujione ulivyo bwege kwa kusumbuliwa na mbususu moja
 
Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.

Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia may be i love u anajibu thansk nacho umia akiitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia may be kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje mana naumia sana kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Mapenzi hayana comandoo
 
miezi kama 2 ila mwezi huu wa kumi ndo mambo yamechange kabisa moja wala mbili haikai

Katika hali ya kawaida huo ni muda mfupi sana kwa penzi jipya kufifia pasipo uwepo wa sababu...

Ushauri, tafuta kujua sababu zilizopelekea kufifisha penzi lenu, hivyo mdadisi mpenzi wako...

Ukiona mnashindwa elewana jiachie tu, wachuchu wazuri wazuri wapo wengi tu...
 
Koma na kaa ukijua akili ya kumuacha utaipata humohumo Wala si huku!,sisi hatuna mamlaka na penzi lenu bali mtakapokuwa tayari mtaachana au mtaendelea.

Cha kukushauri Kama kweli unampenda muonyeshe upendo wa dhati Kama haelewi na hathamini unachomuonyesha,stopisha yote unayomtendea yatende kwa uhafifu sana aione tofauti akijirudi nawe rudi asipojirudi ndugu mi sina ushauri mwengine ila tu usijifikirie kujiua tuibebe nchi maana nchi yetu kwa afrika ndo inashika namba moja watu wake kujiua..🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom