"Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
Naona watu mnatoka kwenye lengo kirahisi sana.
Samia ameshatepeta.
Ametumia wasanii, makada na football kuwapumbaza watanzania lakini hakufanikiwa.
Alitumia risasi kuwatisha watanzania lakini hakufanikiwa.
Kitendo cha watanzania kuandamana 29-10-2025 ni mwanzo wa Tanzania mpya bila ya CCM...
Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi ulioletwa na ile deodorant y’a mwanzo. Nikaambiwa nijaribu deodorant y’a forever living lakini wapi...
Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu.
Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata maumivu shingoni, kuna muda mdomo unakuwa mchachu kama ana homa.
Kaenda hospitali, kapigwa X-ray na...
Wakuu,
Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo."
Taarifa ya Magen David Adom imethibitisha kifo cha mwanaume wa takriban miaka 70 na kujeruhiwa kwa watu wanne...
Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
Kukamatwa au kung’atwa shingoni kunaweza kusababisha utulivu kwa wanyama, na hata kwa binadamu, kutokana na sababu kadhaa za kisaikolojia na kisaikolojia:
1. Kusisimuliwa kwa mshipa wa fahamu (Neva) ya Vagus
Neva ya vagus inapita kwenye shingo na ina jukumu muhimu katika mfumo wa...
Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu?
Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.
Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
CCTV Crime News
Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.
................
Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.
....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu
.....
Hili hapa pigo...
Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni kabla ya kuzaliwa (nuchal cord), matatizo yanaweza kujumuisha shida ya kupumua, na kuzaa mtoto aliyekufa.
Kamba ya kitovu inaweza kumzunguka mtoto kwa ulegevu (loose), na inaweza kumzunguka mtoto kisha ikamkaza (tight), na inaweza kumzunguka mtoto mara...
Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai.
Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana.
Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa panga shingoni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Mussa Abdallah.
Abdallah akiwa amejipumzisha nyumbani kwake Mtaa wa Mwayunge Kata ya Igunga mjini alipata mkasa huo baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Madiwani...
Heshima kwa wakuu wote
Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar
Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari.
Ni muaminifu, sidokoi cha mtu.
Nina elimu ngazi ya diploma.
Nina changamoto fulani za kiafya zimekua...
Sopa mazee.
Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima wa matiti, na nakadhalika.
Hali ipo hivyo hivyo kwa vijana wa kimasaai japo wao hawathaminishi...
Habarini wadau na washauri wa JF
Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea.
Tumeenda vizuri, tumeishi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.