Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva.
Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi huo, na yeye alikubali.
Ghafla baada ya muda akashangaa kuona Madee amemtumia Sh2 milioni, ndipo...