Loo! Dunia inakwenda kasi wakuu,
Mwanamama kanitamkia kwa sauti, "Kaka shikamooo", watu wote niliokuwa nao karibu wakageuka kunitizama, wakapigwa na bumbuwazi, bila iyana nikaitikia, "Marhabaaa, ujambo!!?" akaitikia kwa kutikisa kichwa, akanitazama, kisha akaendelea na safari...