shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii????? Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

    Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika...
  3. JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022 (Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-...
  4. JamiiForums Tanzania Kimeumana! Shetani ashtakiwa mahakamani kwa kuiba miziki ya mbinguni

    Hii kesi utaifurahia sana hata kama hujawahi kuhudhuria International Courts of Law! Kwa wale ambao Kiingereza ni msitu, kuna muhtasari wa kesi kwa Kiswahili katika Post #2 =========== IN THE SUPREME COURT OF E Case No. Eternal-777-E THE PEOPLE OF THE KINGDOM OF LIGHT -Versus- LUCIFER A.K.A...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  6. JamiiForums Tanzania Simulizi: Kanisa la Shetani

    Hii ni simulizi ya kijana Musa, kijana ambaye ametafuta kazi kwa miaka mingi bila kupata, katika matembezi yake, Musa anakutana na Bibi ambaye anamshauri aende kuombewa katika kanisa, anakwenda huko na kupokea maombi yake. Anataka kurudi nyumbani, lakini anazuiliwa na kuambiwa anayeingia humo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unaijua "Biblia" ya Shetani? Pita hapa nikujuze!

    Katika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia. Kama huna habari kuna kitabu kinaitwa "The Satanic Bible" (Biblia ya Shetani), kilichoandikwa na Anton LaVey...
  8. JamiiForums Tanzania Shetani tunakukemea kwa Jina la Yesu: Waachie watu uliowateka

    Shetani amewatekaje watu? 1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi. 2...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

    Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo...
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji SDA: Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana, akoleza moto asema anayeua na kubambikiza kesi ni sinagogi la Shetani

    "Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana" "Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
  11. JamiiForums Tanzania Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

    Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata 'assets' zangu zilizokuwa zimeibwa na ajenti wa shetani(ibilisi). Ilikuwa hivi: Hivi majuzi, mimi na...
  12. JamiiForums Tanzania Msimuonee Kiongozi Wetu Kisa Mnamuabudu Shetani!

    Naam... Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu. Nje ya box. Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election. Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?. Hata...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

    Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
  14. JamiiForums Tanzania Lucifer hakupenda kuwa shetani Kuna mambo alitofautiana na Mungu akaona kama mbwai iwe mbwai

    Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!! Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Sauti ya Mungu inazidi kutikisa na kutetemesha kambi za shetani

    Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki? Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Bila uimara wa Kanisa Katoliki Shetani angetawala dunia kwa kiasi cha kutisha

    Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote. Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unajua? Shetani anaweza kukupa mapesa, lakini...

    Kuna watu wanakiri kwamba wamepata utajiri baada ya kupewa "dawa" na waganga wa kienyeji au wachawi. Kulingana na Maandiko, inawezekana shetani akakupa mali lakini lazima ukubali kumsujudia. Katika Luka 4:5–7 imeandikwa: "Akampandisha juu, akamwonesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja...
  18. JamiiForums Tanzania Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  19. JamiiForums Tanzania Dah kweli dini na sayansi haitakuja zipatane, Uislamu wanaamini mtoto mchanga hulia kisa ameguswa na shetani

    Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali. Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu: Shetani anatufundisha kubadili mawe kuwa mkate, Waziri baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa kumi, mabasi 100

    "Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…