Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,128
Reaction score
8,058
Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika na shetani. Haya, kama hujaelewa niliyokuambia, endelea kusoma...

Kiumbe huyo shetani unayeshirikiana naye, amejaribu kila mbinu kuhakikisha watu hawaokoki. Ametumia udanganyifu wa dini za uongo, starehe za dunia, mafundisho potofu, na kujaribu kuwafanya watu wasipende kusoma Biblia. Anawatumia maajenti wake kueneza hoja za kipagani kuwa Yesu hakufa msalabani wala hakufufuka. Amejaribu kuwatumia waandishi, wasomi, na watu wa aina mbalimbali kupotosha ukweli wa Injili.

Kiumbe huyo aliyelaaniwa na kufukuzwa mbinguni, amejaribu kuwatumia wachawi wakwamishe kazi ya Mungu. Kila mara anahangaika kuwakatisha tamaa wahubiri kwa kuwatukana na kueneza uzushi mitandaoni. Anawashawishi vijana waamini kuwa eti Mungu hayupo.

Hata hivyo, mbinu zake zote zinafeli. Nasema zinafeli kwa sababu Injili inaendelea kupasua anga. Na ChatGPT amejiunga kusukuma tairi la Injili kwa namna ambayo haikutarajiwa.

Injili inapenya huku na kule kupitia Youtube, Facebook na Instagram. Na hata huko Tiktok, Gen-Z wanapata clips za usheshi ulioambatana na gospel. Matokeo yake watu wanaendelea kuokoka kwa wingi, na nuru ya Kristo inazidi kung'aa gizani.

Kama wewe ni ajenti wa shetani, fahamu kuwa umeyakanyaga. Umeyakoroga. Huyo kiumbe amekulaghai. Kama amekuahidi kwamba utapata mapesa ukimtumikia, fahamu kuwa huyo ni mwongo. Lengo lake ni kupata washirika atakaoangamia nao katika moto wa milele. Shtukaa, acha kuipinga Injili. Acha kuwaambia watu uongo eti kuokoka ni kuwa taahira. Acha kabisa kushirikiana na huyo mwizi na muuaji(Yn 10:10). Kwa nje anaonekana kama kondoo, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu. Ni simba anayezunguka zunguka akitafuta mtu ammeze(1 Petro 5:8). Mpinge kwa Jina la Yesu atakimbia. Usiogope, mfukuze atoke ndani ya moyo wako kwa Jina la Yesu. Huyo kiumbe ameishahukumiwa kutupwa motoni milele. Kwanini unamfuata upotevuni?

Kama mada hii imekuchoma na kukufanya ulie, mshukuru Mungu, maana heri waliao sasa na kutubu kuliko wale watakaolia na kuomboleza jehanam.

Huu ni wakati wako sasa wa kumrudia Mungu kabla hujaangamia milele. Muda uliobaki ni mchache sana kabla ya hukumu. Hata shetani mwenyewe anajua muda uliobaki sio mwingi (Ufunuo 12:12).

Usisubiri Yesu aje ndio utubu. Utakuwa umechelewa. Yesu atakapokuja, kufumba na kufumbua, atawanyakua wanaomwamini. Hakutakuwa na muda wa kutubu. Tubu sasa, na umkubali Yesu awe Bwana na Mwokozi wako, kabla neema haijafungwa.
 
Kama uko tayari kumkataa shetani na kumfuata Yesu, omba sala hii ya toba kwa moyo wako wa dhati. Omba hivi:
“Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Nimekuwa nikiipinga Injili kwa kushirikiana na shetani. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Sitaki kushirikiana naye tena kuanzia leo. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”

Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Anza kusoma Biblia kila siku na kumuomba Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.

Na kama ulikuwa na matunguri, mikoba na vibuyu vya kichawi, vichome moto kwa Jina la Yesu, na uanze kuwashuhudia watu kuwa umeokoka.

Mungu akubariki sasa na hata milele, amen
 
watu huangamia kwakukosa maarifa hivi unadhani shetani nikiumbe wapicha uliofunzwa.
 
juhudi zako najitihada naziona kwanguvu sana.nikupe hongera kwakuendelea kua ajent wakuendeleza kupotosha watu.
 
Nimelia sana baada ya kumaliza kisoma uzi huu.
Umetoa mbwa bandani kweli leo?
 
Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika na shetani. Haya, kama hujaelewa niliyokuambia, endelea kusoma...

Kiumbe huyo shetani unayeshirikiana naye, amejaribu kila mbinu kuhakikisha watu hawaokoki. Ametumia udanganyifu wa dini za uongo, starehe za dunia, mafundisho potofu, na kujaribu kuwafanya watu wasipende kusoma Biblia. Anawatumia maajenti wake kueneza hoja za kipagani kuwa Yesu hakufa msalabani wala hakufufuka. Amejaribu kuwatumia waandishi, wasomi, na watu wa aina mbalimbali kupotosha ukweli wa Injili.

Kiumbe huyo aliyelaaniwa na kufukuzwa mbinguni, amejaribu kuwatumia wachawi wakwamishe kazi ya Mungu. Kila mara anahangaika kuwakatisha tamaa wahubiri kwa kuwatukana na kueneza uzushi mitandaoni. Anawashawishi vijana waamini kuwa eti Mungu hayupo.

Hata hivyo, mbinu zake zote zinafeli. Nasema zinafeli kwa sababu Injili inaendelea kupasua anga. Na ChatGPT amejiunga kusukuma tairi la Injili kwa namna ambayo haikutarajiwa.

Injili inapenya huku na kule kupitia Youtube, Facebook na Instagram. Na hata huko Tiktok, Gen-Z wanapata clips za usheshi ulioambatana na gospel. Matokeo yake watu wanaendelea kuokoka kwa wingi, na nuru ya Kristo inazidi kung'aa gizani.

Kama wewe ni ajenti wa shetani, fahamu kuwa umeyakanyaga. Umeyakoroga. Huyo kiumbe amekulaghai. Kama amekuahidi kwamba utapata mapesa ukimtumikia, fahamu kuwa huyo ni mwongo. Lengo lake ni kupata washirika atakaoangamia nao katika moto wa milele. Shtukaa, acha kuipinga Injili. Acha kuwaambia watu uongo eti kuokoka ni kuwa taahira. Acha kabisa kushirikiana na huyo mwizi na muuaji(Yn 10:10). Kwa nje anaonekana kama kondoo, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu. Ni simba anayezunguka zunguka akitafuta mtu ammeze(1 Petro 5:8). Mpinge kwa Jina la Yesu atakimbia. Usiogope, mfukuze atoke ndani ya moyo wako kwa Jina la Yesu. Huyo kiumbe ameishahukumiwa kutupwa motoni milele. Kwanini unamfuata upotevuni?

Kama mada hii imekuchoma na kukufanya ulie, mshukuru Mungu, maana heri waliao sasa na kutubu kuliko wale watakaolia na kuomboleza jehanam.

Huu ni wakati wako sasa wa kumrudia Mungu kabla hujaangamia milele. Muda uliobaki ni mchache sana kabla ya hukumu. Hata shetani mwenyewe anajua muda uliobaki sio mwingi (Ufunuo 12:12).

Usisubiri Yesu aje ndio utubu. Utakuwa umechelewa. Yesu atakapokuja, kufumba na kufumbua, atawanyakua wanaomwamini. Hakutakuwa na muda wa kutubu. Tubu sasa, na umkubali Yesu awe Bwana na Mwokozi wako, kabla neema haijafungwa.
pumbavu wewe qummmmmmmq
 
We mwenyewe Shetani mbona umeshakuwa ajenti wake tyr kwa hiki ulichokiandika humu?
 
Siku hizi yule bibi Faiza amepotea na mada zake humu jukwaani, nadhani hii ndiyo ID yake nyingine
 
Ni nini kimekupata??
 
heri waliao sasa na kutubu kuliko wale watakaolia na kuomboleza jehanam.
 
How does the devil recruit his agents?
 
How does the devil recruit his agents?
The devil recruits his agents not with chains, but with charms — enticing the prideful through deception, the ambitious through corruption, and the idle through distraction. He cloaks bondage in freedom, rebellion in enlightenment, and sin in pleasure, drawing souls subtly into his service before they realize they’ve enlisted
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom