DUBAI BYE Dubai ruler & racing star Sheikh Mohammed to pay £554MILLION to ex-wife Princess Haya in Britain’s biggest ever divorce

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,590
215,189
1640161932912.jpeg

The ruler of Dubai and head of global racing giant Godolphin, 72, was hit with the half-a billion-pound settlement in a 73-page ruling published on Tuesday.

And as part of it, Princess Haya, 47, has been awarded £5m to ‘buy a few reasonable horses’ of her own and ‘run them for several years’, raising the possibility they could go head-to-head on the track in the future.

The judge described the couple’s ‘truly opulent and unprecedented standard of living’, where 'money was no object'.

This included spending £2m on strawberries in one summer alone, the court heard.

Princess Haya was, the court heard, given £83m a year for household spending and she and the couple’s children were given access to the Sheikh’s custom-fit Boeing 747, helicopters and his £300m superyacht.

The couple split in 2019 after 16 years of marriage.

Sheikh Mohammed will have to pay £251.5m to his sixth wife as well as making ongoing payments for their children Al Jalila, 14, and Zayed, nine.
 
hawa warabu huwa wana spend kuliko wazungu, kwa mfano Uday Hussein alikuwa na gari za kifahari zaidi ya 500 na nyumbani kwake alikuwa na chumba kimejaa dollars za marekani juu mpaka chini. hapo kina ronaldo wachezaji wengine ambao huandikwa magezetini kwa magari makali wanakua kama watoto
 
Hivi milioni £83 kwa mwaka unazimalizaje?
 
niko najuuliza au kwaku wananunua strawberries za $2mil, huwa naangalia maisha ya hawa watu youtube kuna mmoja yeye nyumbani kwake anaishi chini ya dunia yani anapanda elevator inashuka chini huko kabisa yani madieisha yake ni Tv zinaonesha mazingira ya nje
 
Hapo magauni ya Channel na Gucci harudii na anayagawa kwa vijakazi.
 
hawa warabu huwa wana spend kuliko wazungu, kwa mfano Uday Hussein alikuwa na gari za kifahari zaidi ya 500 na nyumbani kwake alikuwa na chumba kimejaa dollars za marekani juu mpaka chini. hapo kina ronaldo wachezaji wengine ambao huandikwa magezetini kwa magari makali wanakua kama watoto
Huwa nikisoma zile Pandora au Panama Papers, huwa naona habari za Forbes ni fix tu. Kuna watu off record wana pesa sana.

Hizi nchi za kifalme, hakuna scrutiny kwenye fedha zao, na unakuta makampuni kama ya mafuta yako chini ya familia zao. So, it's possible kuwa na watu kama kina Uday.
 
ukilinganisha na waarabu akina ronaldo wanageuka kuwa houseboys
 
Huwa nikisoma zile Pandora au Panama Papers, huwa naona habari za Forbes ni fix tu. Kuna watu off record wana pesa sana.

Hizi nchi za kifalme, hakuna scrutiny kwenye fedha zao, na unakuta makampuni kama ya mafuta yako chini ya familia zao. So, it's possible kuwa na watu kama kina Uday.
Forbes huwa hawashughuliki na matajiri ambao fedha zao hazihesabiki....wala hazikai benki au utakuta benki kama NMB au CRDB ina akaunti za mtu mmoja tu na familia yake....huwa wanaachana nao....utapasuka kichwa kwa kuhesabu hela tu
 
Huwa nikisoma zile Pandora au Panama Papers, huwa naona habari za Forbes ni fix tu. Kuna watu off record wana pesa sana.

Hizi nchi za kifalme, hakuna scrutiny kwenye fedha zao, na unakuta makampuni kama ya mafuta yako chini ya familia zao. So, it's possible kuwa na watu kama kina Uday.
ni sahihi mkuu, hapa Africa pia kuna familia ya kina Bemba,hawa jamaa wanishi jirani na nyumba za matajiri wa ulaya huko ubelgiji, imagine wazungu wanapit nyumba za waafrica afu wanatamani life lao
 
hawa warabu huwa wana spend kuliko wazungu, kwa mfano Uday Hussein alikuwa na gari za kifahari zaidi ya 500 na nyumbani kwake alikuwa na chumba kimejaa dollars za marekani juu mpaka chini. hapo kina ronaldo wachezaji wengine ambao huandikwa magezetini kwa magari makali wanakua kama watoto
 
View attachment 2053288

The ruler of Dubai and head of global racing giant Godolphin, 72, was hit with the half-a billion-pound settlement in a 73-page ruling published on Tuesday.

And as part of it, Princess Haya, 47, has been awarded £5m to ‘buy a few reasonable horses’ of her own and ‘run them for several years’, raising the possibility they could go head-to-head on the track in the future.

The judge described the couple’s ‘truly opulent and unprecedented standard of living’, where 'money was no object'.

This included spending £2m on strawberries in one summer alone, the court heard.

Princess Haya was, the court heard, given £83m a year for household spending and she and the couple’s children were given access to the Sheikh’s custom-fit Boeing 747, helicopters and his £300m superyacht.

The couple split in 2019 after 16 years of marriage.

Sheikh Mohammed will have to pay £251.5m to his sixth wife as well as making ongoing payments for their children Al Jalila, 14, and Zayed, nine.
Sheikh anakojoa pazuri
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom