sheikh walid

Balad al-Sheikh (traditional transliteration) or Balad ash-Shaykh (most recent form of transliteration; Arabic: بلد الشيخ) was a Palestinian Arab village located just north of Mount Carmel, 7 kilometers (4.3 mi) southeast of Haifa. Currently the town's land is located within the jurisdiction of the Israeli city, Nesher.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid na Al had Mussa warushiana maneno kuhusu kumiliki Bastola

    Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola 👇 Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola. Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah 👇 Kwa maoni yako yupi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid apewe stahiki zake zikiambatana na usumbufu

    Ni rasmi sasa uongozi wake umehitimika. Maswali muhimu ya msingi 1. Wakati anaingia madarakani alijaza mkataba ? (Ni vyeo vya mkataba ? au ?) 2. Unapoondolewa Kwa mtindo huo (kudhalilishwa na kufukuzwa kwenye cheo chako "cheo cha Walid" nini hatma yake ? MAJIBU Aje kiongozi mbele ya umma...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Walid- aliekuwa Sheikh wa Dar

    Barua ya wazi kwa Sheikh Walid Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  5. prida

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid Alhad Omari

    Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏 Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu; 1)Video zako...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid ashughulikiwe kama watu wengine

    Utetezi kwamba amevutia watu wengi hasa vijana kushiriki katika dini kikamilifu hauna mashiko. Utetezi pia kwamba kila mtu ana madhambi kwa hiyo asihukumiwe sio sawa, kama kuna ushahidi alitishia kumuua mwanamke aliyezaa naye na mtoto wake pia ashughulikiwe. Kusiwepo ni double standards.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

    Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa. Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
  9. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

    Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza. Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Bella na Cheti cha Daniel: Skandali Zinavyouwa ‘Image’ za Viongozi wa Dini

    Mbinu ya 'Asali na Mtego': Jinsi Skandali za Mapenzi na Nyaraka Zinavyotumika Kuangusha Nembo za Kidini (Kisa cha Sheikh Walid na Fr. Dr. Kitima) Wana-JamiiForums, hamjambo! Katika ulimwengu wa sasa, vita dhidi ya viongozi wa dini wenye ushawishi mkubwa haipigwi tena kwa kutumia hoja za kiasili...
  11. hamis77

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheikh Walid atuhumiwa kukimbiwa mtoto

    Huwa nasema hakuna watu wanafiki kama masheikh, hakuna watu wanaofanya maovu kwa kujificha kama masheikh,Hawa ndio wazinzi wakubwa,wavuta Sigara na watukanaji WAKUBWA . ila ndio wakwanza kushambulia watu na kuwalazimisha wamfate Allah kumbe wao hawawezi . Huyu kwenye picha na video ni Sheikh...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu. Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

    Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza Uamuzi wa Baraza hilo umetolewa leo tarehe 14/07/2026, mara baada ya kukutana katika Kikao cha dharura chini ya Kaimu Mufti...
Back
Top Bottom