"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 -...
Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo.
Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
Gwajima pale ulivyozungukwa na polisi ulitoka na dela na kutokea mlango wa nyuma kwanini ulivaa dela wakati wewe unasema ni jasusi la Mungu, jasusi la Mungu livaa dela. Hukupaswa kuvaa dela ungesema mimi ni jasusi la Mungu na nyinyi ni majajusi la dunia tupambane alisema Sheikh Mwaipopo
Soma...
Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini?
Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh...
Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa.
Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini
Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa...
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya kumuita kituoni na kumhoji juu ya kauli zake ambazo amekuwa akizotoa mara kwa mara.
Huyu Sheikh amekuwa...
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka...
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya...
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limesema hoja ya watu wa Mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika Tanzania isiyoamini mgawanyiko wa kikabila. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa BAHAKITA, Shekhe Said...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.