Sheikh Mwaipopo akiwa amezungukwa na baadhi ya vijana hao,anasema kuwa kikosi chao tayari kimesambazwa na kushika hatamu katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Musoma (Mkoa wa Mara), na Kilimanjaro
Anasema lengo kuu, kwa mujibu wa kiongozi huyo, ni kukabiliana...
Wakuu salama,
Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.
Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi.
Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
Shida ya JF yetu ni refa wa kuchagua maamuzi ila anajisahau kuwa siku tukiwatetea kuhusu VPN 😁 .
Huyu shaikh mwaipopo mi sitaki kuwa msimuliaji angalia historia yake wanao mfahamu na yeye alishawahi kusema lile kundi waliwahi kumuepusha kuuliwa ila alitakiwa kukubari mafundisho.
Sasa neno mbwa...
Wewe shehe Mwaipopo kwa kutoa matamko ya kutishia watu na kuitetea CCM humfikii hata robo marehemu shehe Sharifu Majini lakini aliishia kupigwa risasi za kutosha kwenye maandamano ya October 29.
Wewe shehe Mwaipopo vitisho vyako vinakuweka hatarini zaidi wewe na familia yako kuliko waandamanaji...
Hili Kundi linaloendesha shughuli zake za Kisiasa-Kiislamu kwa Mrengo wa Uislam, ndio lile lile ambalo Magufuli alilipiga Pini .
Hili Kundi ni lazima tuliweke Wazi, Dunia ilitazame.
Hatupaswi kucheza na hili kundi, hawa tukiwaacha, kutaibuka vikundi vya kigaidi chini ya mwamvuli wa kumlinda...
Shehe ubwabwa Mwaipopo, anajitambuliza kama katibu wa habari wa BAKWATA amengaza ugaidi na serikali na police wapo kimya
1. Anamiliki kikundi cha mbwa mwitu, (uhalilifu)
Alisema wazi akiamuru kamata wanakata, akiamura ua wanauwa.
She Mwaipopo anadeka na anaendesha serikali kwakuwa ni muisla
2...
Anaandika Askofu Mwamakula
______________________
JE, UNAJUA SABABU ZA SHEIKH MWAIPOPO KUTAKA 'KUWATAHIRI WATU BILA GANZI'?
Wiki hii kaibuka Sheikh Mwaipopo, kaita press na kutamka maneno mazito. Baadhi ya maneno hayo ni 'kutairi waandamanaji bila ganzi', kuwa na 'kikosi cha mbwa mwitu', nk...
Friends and Our Enemies,
Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.
Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.
Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi...
Wakuu,
Nadhani wengi wenu mmeona au kusikia taarifa za mkutano na waandishi wa habari uliofanywa na Sheikh Said Mwaipopo mnamo Juni 20, 2026, kuelekea maandamano yaliyopangwa ya tarehe 7 Julai (Saba Saba). Katika kauli yake, ametishia kuwepo kwa "kikosi kazi maalum" kitakachowashughulikia...
Sheikh Said Mwaipopo ametangaza kiama kwa Wanaharakati na wote ambayo wanajinasibu kuandamana Julai 07 na kwamba watachoma shule, hospitali na miundombinu muhimu, watashughulikiwa na kikosi kazi maalum ambacho amekitambulisha mbele ya jopo la waandishi wa habari leo Juni 20, 2026 Dar es salaam...
Kauli anazoendelea kuzitoa Sheikh Said Mwaipopo kuna wakati zinakuacha mtu ukibaki mdomo wazi, ukijiuliza kama kweli zimefikirika kabla ya kutolewa.
================
Shekhe Said Mwaipopo amesema amesikia taarifa ya msajili wa vyama kutoa taarifa ya onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema leo Shekhe Said Mwaipopo amewataka wale wanaoshutumu viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa kazi zao hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa oktoba 29
Ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo...
Sheikh Mwaipopo akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi mbalimbali wa dini ametoa wito kwa watu kuheshimu na kuwapongeza viongozi kwani kazi hiyo si kazi ndogo. Ameongea kuwa kiongozi kama Rais hawezi kutukanwa tu watu mitandaoni.
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja
Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana!
NB:
Modes acheni kufuta nyuzi...
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?
i
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said Mwaipopo amesema sababu ya Chuki na ukosoaji unaofanywa na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba ni kutokana na mwanae kushindikana kuwa Mkuu wa Mkoa kama Mzee Warioba alivyokuwa ameomba kwa Rais Dkt. Samia...
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo.
Akinukuliwa amesema:
Hii dunia ina wanafiki wengi, Huyu Sheikh Mwaipopo mchumia tumbo kama wengine, hivi mtu unawezaje kupigwa risasi mbili bahati mbaya, kwamba asisema amedhulumiwa uhai makusudi na mamlaka, naye atauawa?
Huyu na wanafiki wenzake wa BAKWATA ndo wamekuja na tamko la kijinga kuhusu uchaguzi.
Soma >...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.