shangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Tumjadili Shangazi Kaja anayeimbwa na Solo Thang

    https://youtu.be/on0XIvFqJV4?si=_zK9Ex1gcfPCnxtQ Solo Thang kamchana vibaya vibaya Shangazi Kaja. Kafukua kila kona ya aliyofanya Shangazi Kaja. Huyu Shangazi ni nani?
  2. funaku

    Mwanzo dot org na Shangazi Power project wanapokea fedha kutokaFord Foundation

    Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini. nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana..... Our grants |Awarded grants |Grants database For support for the Shangazi Power project for...
  3. M

    Barua ya wazi kwa shangazi Maria Sarungi: Ni makosa makubwa ya kimkakati kuitisha maandamano mengine hivi karibuni

    Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini. Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
  4. MamaSamia2025

    Tufunge na kuomba kufukuza pepo la mikopo linalowatesa kina mama, dada, wake, shangazi na wanawake wangine wengi

    Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

    Hamjambo Wote! Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake. Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja ikanirudisha Mwaka 2015 nilipokuwa Udsm Mwaka wa Pili. Nikiwa na hekaheka, za ujana kukimbizana na kila...
  6. ELI COHEN

    Uzinzi ni mbaya mnoo aisee, nishawahi fukuzia mrembo fulani ananifanyia dharau kumbe mme wa shangazi yake alipokuwa anaishi alikuwa anajilia kisela

    Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁 Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
  7. Kazanazo

    Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    Wataalamu wa lugha tuelimishane kidogo yupi hapo ni shangazi na kwanini maana hawa watu wawili huwa wananichanganya
  8. Sky Eclat

    Dada hukua hata na muda wa kununua shangazi kaja!

    #STrending "MIZIGO YA DADA YANGU #ZAIYLISA …… JANA KAONDOKA NA VITU VYAKE VYA KWENYE KITCHEN PARTY ALIVYOTUNZWA ……!!!! SIJALALA MIMI NAIYOMBEA DUA HI NDOA 😭😭😭😭 TARAKA TATU NI NYINGI MJUE." - ✍️ #JumaLokole #SallyTV #NiZaidiYaBurudani
  9. Miguel Felix Gallardo

    Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣 Huyu dogo mpira ukianza kumtupa...
  10. Knock life

    Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  11. sergio 5

    Wadada mnaotamba na amapiano tunawakumbusha mtapita tu shangazi zenu walikuwa busy na viduku

    Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
  12. mdukuzi

    Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Sikujua kama huyu shangazi meno matatu ya mbele NI bandia. Kumbe Nipo na kibogoyo

    Huniambii kitu hata! Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah! Kûna waliniita Mario, Kûna waliniita Serengeti boy, Kûna waliniita kibenteni. Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha...
  14. G

    Jinsi kanisa lilivyovunja ndoa ya binamu yangu na kumfuja mali za talaka, wanawake wanaoabudu manabii wa mchongo wamechotwa akili huwaambii kitu

    Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
  15. U

    Uzi maalumu wa kutaja majibu ya kukatisha tamaa, ya hovyo au kuchefua ulowahi kuyapata kutoka kwa shangazi zako

    Wadau hamjamboni nyote? Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani? Karibu utupe uzoefu Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
  16. Alubati

    Shangazi nangai

  17. L

    Nimetukanwa matusi ya nguoni na mtoto wa shangazi yangu

    Kwema wandugu Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu. Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
  18. ERTUGRUL BEY

    Hadithi ya Shangazi yake Nancy kwenye daladala ya Tabata

    Ndani ya daladala ya segerea kuelekea tabata kimanga,hali ya hewa ni mvua siku ya jana ya jumamosi. Nimekaa siti ya kulia dirishani kabisa huku naperuzi mtandao pendwa kabisa jamii forums, baada ya abiria wa awali niliyekaa nae kushuka mara pap anakaa bimkubwa mmoja pembeni yangu. Kama...
  19. DELETED ACCOUNT

    Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  20. sonofobia

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    "Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!" ====...
Back
Top Bottom